Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapinga kufungwa kwa duka la Uchumi TZ

Wafanyikazi waliojawa na hasira kutoka kwa duka la jumla la Uchumi Supermarket wamelazimisha kufungwa kwa mojawapo ya maduka hayo nchini Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO

NA MWAMVUA MWINYI PWANI .
JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria . 
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo. 
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom yafungua duka jipya jengo la Quality Centre Uchumi

Katika kuhakikisha wakazi wa Temeke na Ilala wanapata huduma kwa karibu,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom leo imefungua duka jipya katika jengo la Quality Centre Uchumi  lililopo katika barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam likiwa na maduka makubwa,ukumbi wa sinema,sehemu za burudani na maofisi.
Duka hili jipya lenye mazingira rafiki kwa wateja litakuwa linatoa huduma mbalimbali kwa wateja wa Vodacom ikiwemo huduma  kwa mawakala wa Mpesa na...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI‏

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa wa kwanza toka kulia pamoja na Meneja wa duka hilo Irene Njovu na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Hassan Saleh wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa duka jipya na la kisasa la Vodacom Tanzania,lililopo Quality Centre katika   barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam.… ...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WENGI HAWAFANIKIWI KWA BIASHARA YA DUKA?

Wengi wamekuwa na ndoto za kufungua maduka wakiamini yanaweza kuwa daraja la kuelekea kwenye mafanikio. Siyo mbaya kwani nawajua wengi tu ambao wamefanikiwa kwa kuanzisha vioski, baadaye maduka na sasa ni wafanyabiashara wakubwa. Lakini wakati baadhi wakifanikiwa kwa njia hiyo, wapo ambao wamekuwa wakifungua maduka na baada ya muda kuyafunga huku wakiwa wameambulia hasara. Utakuwa shahidi huko mtaani kwamba, kumekuwa na utitiri...

 

11 years ago

Mwananchi

Tigo wafungua duka huduma kwa wateja

Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo imefungua maduka 50 nchini ili kurahishisha upatikanaji huduma kwa wateja wake.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema wapinga kura kwa intaneti

UAMUZI wa Bunge Maalumu la Katiba wa kupitisha marekebisho ya Kanuni zake, ili kutoa fursa kwa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura ya kukubali au kukataa Katiba inayopendekezwa wakiwa mahali popote hata nje ya nchi kwa kutumia nukushi (faksi) au intaneti, umegeuka kuwa shubiri kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

 

10 years ago

Habarileo

Wapinga dhamana kwa washitakiwa wa ubakaji

WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kupitia mradi wa Gewe, wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kufuta dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya ubakaji. Akizungumza na gazeti hili wakati wa tathmini ya mradi huo, mwanaharakati Fatma Issa kutoka kijiji cha Dole Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, alisema kesi nyingi za ubakaji watuhumiwa wake wanaachiwa huru baada ya kukosekana kwa ushahidi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wapinga ukatili kwa wanawake, watoto

TAMASHA la kupinga ukatili wa kijinsia lililopewa jina la ‘siku ya rangi ya chungwa’ limenyika jijini Dar es Salaam kupinga unyanyasaji kwa mwanamke na mtoto wa kike. Akizungumza na waandishi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Makamishna wapinga kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar

Baadhi ya makamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wasema hawakushirikishwa katika uamuzi wa mwenyekiti wa tume hiyo Salim Jecha wa kufutilia mbali uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani