Wapinga dhamana kwa washitakiwa wa ubakaji
WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kupitia mradi wa Gewe, wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kufuta dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya ubakaji. Akizungumza na gazeti hili wakati wa tathmini ya mradi huo, mwanaharakati Fatma Issa kutoka kijiji cha Dole Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja, alisema kesi nyingi za ubakaji watuhumiwa wake wanaachiwa huru baada ya kukosekana kwa ushahidi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Wawili washitakiwa kwa utakatishaji fedha
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WATU watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka manne ya kula njama, wizi na kutakatisha fedha haramu.
Akisoma hati ya mashtaka juzi, Wakili wa Serikali, Shedrack Kimaro, mbele ya Hakimu Mkazi, Kwey Lusemwa, alidai washtakiwa hao walitenda kosa hilo kati ya Aprili 2014 na Februari 2015.
Aliwataja washtakiwa hao kuwa ni Kassim Abdallah, Yassin Ramadhan na Thendo Ally, wote kwa pamoja walikula njama ya kuiibia...
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Kizimbani kwa ubakaji
NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Dar es Saalam Juma Omary, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shitaka la ubakaji.
Omary (65), alisemewa shitaka hilo jana, mahakamani hapo na Mwendesha Mashitaka Faustine Sylvester mbele ya Hakimu Boniphace Lihamwike.
Sylvester alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Agosti 19, mwaka huu, muda usiofahamika, katika mtaa wa Mkunguni, Kinondoni.
Mshitakiwa alikana shitaka hilo na alirudishwa rumande, baada ya kushindwa kutimiza...
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Mchungaji afungwa kwa ubakaji
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Kikongwe mbaroni kwa ubakaji
11 years ago
Habarileo01 Mar
Jela miaka 30 kwa ubakaji
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Hashimu Ahamada (48) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kushitakiwa kwa kesi ya ubakaji na ushahidi kukamilika.
11 years ago
Habarileo26 Feb
Miaka 30 jela kwa ubakaji
MKAZI wa kijiji cha Kigonsera kata ya Kigonsera wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Anton Ndimbo (33) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kutokana na kupatikana na kosa la ubakaji.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3vKQkh-FlonfI5tccgFjby2B0RctAMlRM*J7z70awJVWXP2IoFVbtjl8JN-Qv6Tr4UQxi6jJLTFvQ5AP0Vu-zFreG91z96cp/MESENJA.jpg?width=650)
MESENJA MATATANI KWA UBAKAJI
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Mbasha kizimbani kwa ubakaji
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Sep
Watano kortini kwa tuhuma za ubakaji
NA PETER KATULANDA, MAGU
MWENYEKITI wa CCM Kata ya Mwamanyili wilayani Busega, Simiyu, Ramadhani Msoka na wenzake watano, wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashitaka mawili ya unyang’anyi wa kutumia silaha na ubakaji.
Washitakiwa hao akiwemo Mshauri wa Mahakama ya Mwanzo ya Nyashimo wilayani humo, Libent Rwegarulila, ambaye ni mshitakiwa namba moja, walisomewa mashitaka hayo juzi katika Mahakama ya Wilaya ya Magu, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Robert Masige.
Awali, Msoka na...