Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miaka 30 jela kwa ubakaji

MKAZI wa kijiji cha Kigonsera kata ya Kigonsera wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Anton Ndimbo (33) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kutokana na kupatikana na kosa la ubakaji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 kwa ubakaji

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Hashimu Ahamada (48) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kushitakiwa kwa kesi ya ubakaji na ushahidi kukamilika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwanafunzi jela miaka 30 kwa ubakaji

MWANAFUNZI mmoja wa sekondari ya Hunyari, Wilaya hapa, Mkoa wa Mara, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kuchapwa viboko 12 na Mahakama ya Wilaya hiyo kwa kosa la kumbaka mwanafunzi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wawili wa DRC jela kwa ubakaji

Wanajeshi 2 wa DRC wamepatikana na hatia ya ubakaji kati wanajeshi 39 walioshitakiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita mashariki mwa nchi hiyo.

 

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

5 years ago

Michuzi

Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.

Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...

 

9 years ago

Habarileo

Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua

MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.

 

11 years ago

GPL

MJUKUU ASAKWA KWA UBAKAJI, ULAWITI BIBI MIAKA 74!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
UNYAMA uliyoje! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Pius (28), mkazi wa Kijiji cha Nyingwa Kata ya Kibungo Juu, Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro Vijijini, anasakwa kwa tuhuma za ubakaji na ulawiti wa bibi mmoja,(74). Bibi anayesadikiwa kibakwa na kulawitiwa na mjukuu wake aliyefahamika kwa jina moja la Pius. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mtuhumiwa huyo alikamatwa na kufikishwa katika Kituo...

 

10 years ago

GPL

STAA WA ZAMANI WA TENNIS, BOB HEWITT AHUKUMIWA MIAKA 6 KWA UBAKAJI

Bob Hewitt. STAA wa zamani wa tennis, Bob Hewitt amehukumiwa kwenda jela miaka sita kwa kosa la ubakaji nchini Afrika Kusini. Bob Hewitt enzi zake. Hewitt alikutwa na hatia Mwezi Machi jijini Johannesburg kwa makosa mawili la ubakaji na udhalilishaji wa kijinsia kwa watoto wa kike. Akizungumza wakati wa kutolewa hukumu hiyo, mke wa Hewitt aliiomba mahakama kuonyesha huruma kwa mumewe huyo mwenye umri wa miaka 75. Makosa hayo...

 

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 kwa kubaka

MAHAKAMA ya hakimu mkazi wilaya ya Shinyanga, imemtupa jela mkazi wa kijiji cha Ilobashi wilaya ya Shinyanga Vijijini miaka 30 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani