Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanafunzi jela miaka 30 kwa ubakaji

MWANAFUNZI mmoja wa sekondari ya Hunyari, Wilaya hapa, Mkoa wa Mara, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kuchapwa viboko 12 na Mahakama ya Wilaya hiyo kwa kosa la kumbaka mwanafunzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Miaka 30 jela kwa ubakaji

MKAZI wa kijiji cha Kigonsera kata ya Kigonsera wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Anton Ndimbo (33) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kutokana na kupatikana na kosa la ubakaji.

 

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 30 kwa ubakaji

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Hashimu Ahamada (48) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kushitakiwa kwa kesi ya ubakaji na ushahidi kukamilika.

 

11 years ago

Habarileo

Jela miaka 10 kwa kumpa mimba mwanafunzi

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imemhukumu mfanyabiashara wa mbuzi, Adam Shaban Hole (46) kwenda jela miaka 10 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumpa mimba mwanafunzi, kushiriki kumtoa mimba na kusababisha kifo chake.

 

10 years ago

Habarileo

Kijana jela miaka 30 kwa kumlawiti mwanafunzi

Pingu.MAHAKAMA ya Wilaya ya Tabora imehukumu Masudi Nassor (20) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wa kike wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka tisa.

 

5 years ago

Michuzi

Mwalimu ahukumiwa miaka 3 jela na kulipa fidia Mil.10 kwa kumsababishia ulemavu mwanafunzi wake

Na Amiri kilagalila,Njombe

Mahakama ya wilaya ya Njombe imemhukumu mwalimu Focus Mbilinyi aliyekuwa akifundisha shule ya msingi Madeke hapo awali kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kulipa fidia ya shilingi milioni kumi baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga mwanafunzi wake na kumsababishia ulemavu wa kudumu.

Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya wilaya ya Njombe kupitia hakimu Ivran Msaki ambae amesema mahakama imesikiliza ushahidi wa pande zote mbili wa shauri namba 141 la mwaka 2019 na...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi UDOM jela miaka sita

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkiad Kabunduguru (28) amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wawili wa DRC jela kwa ubakaji

Wanajeshi 2 wa DRC wamepatikana na hatia ya ubakaji kati wanajeshi 39 walioshitakiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita mashariki mwa nchi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwalimu jela kwa kumpa mimba mwanafunzi

Mahakama wilayani Mbozi mkoani Mbeya, imemhukumu Mwalimu wa Shule ya Sekondari Mbozi, Hilary Mwampangala miaka minne jela baada ya kumpa mimba mwanafunzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanafunzi jela kwa kumtusi rais Kenya

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya amepewa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kumtukana rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani