MESENJA MATATANI KWA UBAKAJI
![](http://api.ning.com:80/files/3vKQkh-FlonfI5tccgFjby2B0RctAMlRM*J7z70awJVWXP2IoFVbtjl8JN-Qv6Tr4UQxi6jJLTFvQ5AP0Vu-zFreG91z96cp/MESENJA.jpg?width=650)
Stori: Haruni Sanchawa, Kisarawe DUNIA inaelekea ukingoni. Mesenja katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Pwani, Mud Yusuph yu matatani kwa madai ya ubakaji wa denti wa darasa la kwanza,10, (jina linahifadhiwa). Kwa mujibu wa chanzo ndani ya ofisi hiyo, mtuhumiwa huyo (55) alidaiwa kutenda kosa hilo nyumbani kwake Kisarawe, Januari 20 mwaka huu. Siku ya tukio inadaiwa mtoto huyo alikwenda nyumbani kwa mtumishi huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Kizimbani kwa ubakaji
NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Dar es Saalam Juma Omary, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shitaka la ubakaji.
Omary (65), alisemewa shitaka hilo jana, mahakamani hapo na Mwendesha Mashitaka Faustine Sylvester mbele ya Hakimu Boniphace Lihamwike.
Sylvester alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Agosti 19, mwaka huu, muda usiofahamika, katika mtaa wa Mkunguni, Kinondoni.
Mshitakiwa alikana shitaka hilo na alirudishwa rumande, baada ya kushindwa kutimiza...
11 years ago
Habarileo01 Mar
Jela miaka 30 kwa ubakaji
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Hashimu Ahamada (48) kifungo cha miaka 30 jela baada ya kushitakiwa kwa kesi ya ubakaji na ushahidi kukamilika.
11 years ago
Habarileo26 Feb
Miaka 30 jela kwa ubakaji
MKAZI wa kijiji cha Kigonsera kata ya Kigonsera wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Anton Ndimbo (33) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kutokana na kupatikana na kosa la ubakaji.
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Mchungaji afungwa kwa ubakaji
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Mbasha kizimbani kwa ubakaji
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Kikongwe mbaroni kwa ubakaji
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Apigwa mawe kwa ubakaji Somalia
11 years ago
GPL![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/05/06/article-2621567-1D9EE47200000578-983_634x470.jpg?width=634)
MWANAMKE AMTETEA MUMEWE KWA UBAKAJI
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Josh McNary atuhumiwa kwa ubakaji