Josh McNary atuhumiwa kwa ubakaji
Josh McNary, kutoka timu ya Indianapolis colts ambaye anakamata nafasi ya ulinzi ,anakabiliwa na tuhuma za ubakaji
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Manmohan atuhumiwa kwa ufisadi India
11 years ago
Habarileo26 Dec
Atuhumiwa kuua mpenziwe kwa kumvuta korodani
JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Usiulize wilayani Meatu kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumvuta korodani, kutokana na wivu wa kimapenzi.
11 years ago
Habarileo05 Jun
Atuhumiwa kumuua mama yake kwa fimbo
WATU wawili kutoka vijiji tofauti wilayani Rorya wanashikiliwa na polisi mmoja akituhumiwa kumuua mama yake mzazi kwa kumpiga na fimbo na mwingine kwa kumuunguza viganja binti yake akimtuhumu kuiba fedha.
10 years ago
Mtanzania18 Apr
Mengi atuhumiwa kwa uhaini *Mwenyewe aibuka na kukanusha
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi, ametuhumiwa kutaka kuiangusha Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na kumshughulikia baada ya kumaliza uongozi wake Oktoba, mwaka huu.
Baada ya tuhuma hizo kuelekezwa kwake na gazeti la Taifa Imara lililochapishwa Machi 23, mwaka huu likiwa na kichwa cha habari kinachosema, ‘Zitto amchongea Mengi kwa JK? Mwenyewe ameibuka Dar es Salaam jana na kuzikanusha mbele ya waandishi wa habari akisema zimemshtua na...
10 years ago
Habarileo17 Oct
Atuhumiwa kutapeli mil 2.3/- kwa kujifanya Usalama wa Taifa
POLISI mkoani Mtwara inamshikilia Juma Idrisa (28) mkazi wa Wapiwapi kwa tuhuma za kujipatia fedha zaidi ya Sh milioni 2.3 kwa njia ya udanganyifu kwa kumdanganya mkazi wa kijiji cha Msikisi kata ya Namatutwe, Yusuph Nkondola kuwa yeye ni Ofisa wa Usalama wa Taifa.
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Ofisa biashara atuhumiwa kwa kuikashifu Serikali, Mwenge
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Kizimbani kwa ubakaji
NA EMMANUEL MOHAMED
MKAZI wa Dar es Saalam Juma Omary, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu shitaka la ubakaji.
Omary (65), alisemewa shitaka hilo jana, mahakamani hapo na Mwendesha Mashitaka Faustine Sylvester mbele ya Hakimu Boniphace Lihamwike.
Sylvester alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo Agosti 19, mwaka huu, muda usiofahamika, katika mtaa wa Mkunguni, Kinondoni.
Mshitakiwa alikana shitaka hilo na alirudishwa rumande, baada ya kushindwa kutimiza...
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Mbasha kizimbani kwa ubakaji
11 years ago
Habarileo26 Feb
Miaka 30 jela kwa ubakaji
MKAZI wa kijiji cha Kigonsera kata ya Kigonsera wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Anton Ndimbo (33) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kutokana na kupatikana na kosa la ubakaji.