Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manmohan atuhumiwa kwa ufisadi India

Waziri mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh ametuhumiwa kwa ufisadi katika kuuza migodi ya makaa ya mawe

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Josh McNary atuhumiwa kwa ubakaji

Josh McNary, kutoka timu ya Indianapolis colts ambaye anakamata nafasi ya ulinzi ,anakabiliwa na tuhuma za ubakaji

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kuua mpenziwe kwa kumvuta korodani

JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Usiulize wilayani Meatu kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumvuta korodani, kutokana na wivu wa kimapenzi.

 

11 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kumuua mama yake kwa fimbo

WATU wawili kutoka vijiji tofauti wilayani Rorya wanashikiliwa na polisi mmoja akituhumiwa kumuua mama yake mzazi kwa kumpiga na fimbo na mwingine kwa kumuunguza viganja binti yake akimtuhumu kuiba fedha.

 

10 years ago

Mtanzania

Mengi atuhumiwa kwa uhaini *Mwenyewe aibuka na kukanusha

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi, ametuhumiwa kutaka kuiangusha Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na kumshughulikia baada ya kumaliza uongozi wake Oktoba, mwaka huu.

Baada ya tuhuma hizo kuelekezwa kwake na gazeti la Taifa Imara lililochapishwa Machi 23, mwaka huu likiwa na kichwa cha habari kinachosema, ‘Zitto amchongea Mengi kwa JK? Mwenyewe ameibuka Dar es Salaam jana na kuzikanusha mbele ya waandishi wa habari akisema zimemshtua na...

 

10 years ago

Habarileo

Atuhumiwa kutapeli mil 2.3/- kwa kujifanya Usalama wa Taifa

POLISI mkoani Mtwara inamshikilia Juma Idrisa (28) mkazi wa Wapiwapi kwa tuhuma za kujipatia fedha zaidi ya Sh milioni 2.3 kwa njia ya udanganyifu kwa kumdanganya mkazi wa kijiji cha Msikisi kata ya Namatutwe, Yusuph Nkondola kuwa yeye ni Ofisa wa Usalama wa Taifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Ofisa biashara atuhumiwa kwa kuikashifu Serikali, Mwenge

Polisi wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, wanamshikilia Ofisa Biashara wa Halmashauri ya Msalala, Cosmas Makune kwa tuhuma za kujihusisha na siasa, kuikashifu Serikali na kutoa lugha chafu dhidi ya Mwenge wa Uhuru.

 

10 years ago

Vijimambo

Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL

Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemelaMadudu zaidi yameendelea kuibuka katika sakata la mabehewa feki 274 yaliyonunuliwa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), na sasa imebainika kuwa kampuni iliyopewa zabuni ya kuleta mabehewa hayo ndiyo iliyokuwa ya bei ya juu zaidi kuliko kampuni 10 zilizokuwa zimeomba na haikuweka dhamana yoyote kama sheria ya manunuzi inavyotaka.

Aidha, imebainika pia kuwa ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahojiwa kwa ufisadi wa mabilioni Mbeya

Mradi wa Maji Masoko Pipe Water Supply uliokwama kwa ufisadi wakati ukitekelezwa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, sasa umekuwa kaa wa moto baada ya waliokuwa viongozi wa halmashauri hiyo kuhojiwa kuhusiana na ufisadi wa mabilioni ya shilingi.

 

10 years ago

Mwananchi

Watumishi Mafia wahukumiwa kwa ufisadi

Mahakama ya Wilaya ya Mafia mkoani Pwani imewatia hatiani na kuwahukumu kifungo cha miaka minne jela au faini ya Sh3 milioni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia baada ya kuridhika wametenda kosa la ubadhirifu wa Sh7.5 milioni zilizokusudiwa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani