Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahojiwa kwa ufisadi wa mabilioni Mbeya

Mradi wa Maji Masoko Pipe Water Supply uliokwama kwa ufisadi wakati ukitekelezwa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, sasa umekuwa kaa wa moto baada ya waliokuwa viongozi wa halmashauri hiyo kuhojiwa kuhusiana na ufisadi wa mabilioni ya shilingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri wa JK wanaswa ufisadi wa mabilioni

Watu tisa wakiwamo mawaziri wawili wa Fedha wa Serikali ya Awamu ya Nne ya Jakaya Kikwete wametajwa kushiriki kwenye kashfa ya rushwa ya Sh13 bilioni wakati Serikali ya Tanzania ilipokopa Dola za Kimarekani 600 milioni (Sh1.3 trilioni) kutoka benki ya Standard ya Uingereza.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli asaka vinara ufisadi wa mabilioni

0D6A2900*Awataka waliohusika na kashfa ya Sh trilioni 1.3 watoe ushirikiano

* aliyekuwa bosi TRA, Harry Kitilya, mtoto wa Waziri wahusushwa

 

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Mahakama ya London, Uingereza kubaini ufisadi wa Sh trilioni 1.3, zilizotokana na mkopo uliotolewa na benki ya Standard ya Uingereza kwa Serikali ya Tanzania, Ikulu imeanza kusaka watu waliosababisha hasara hiyo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana,...

 

10 years ago

Mwananchi

Magari ya Chadema yazua utata Mbeya, viongozi wahojiwa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Mbeya kimelalamikia polisi kuwahoji viongozi wake kuhusu vijana waliokuwa wakilinda msafara wa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa wakiwa kwenye gari.

 

10 years ago

Mwananchi

Timua timua Yanga yaibua ufisadi wa mabilioni ya fedha

Timua timua ya makocha ndani ya Yanga imeibua ufisadi wa zaidi ya Sh3 bilioni ndani ya klabu hiyo huku uchunguzi zaidi ukiendelea kufanyika.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 10 wahojiwa kwa mauaji Tarime

Watu 10 wanashikiliwa na polisi kwa mahojiano baada ya kukamatwa na msako wa kikosi kazi kwa kushirikiana na Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya, baada ya kutokea kwa mauaji ya hivi karibuni wilayani Tarime dhidi ya mtu asiyefahamika wala aina ya bunduki yake.

 

5 years ago

Michuzi

MAWAKILI WATARAJIWA WAHOJIWA KWA MTANDAO


Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akiwa ofisini kwake Jijini Dar es Salaam akimfanyia usaili  mhitimu wa Shule ya Sheria  kwa njia ya mtandao maarufu kama ”Video Conference” ikiwa ni maandalizi ya kuapishwa kuwa Wakili .Baadhi ya wahitimu wa Shule ya Sheria wakiwa wameketi kwenye chumba maalumu, Jijini Dar es Salaam...

 

9 years ago

Habarileo

Wahojiwa kwa kuhamasisha maandamano batili

JESHI la Polisi mkoani Rukwa limewashikilia kwa mahojiano Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani humo, Zeno Nkoswe, viongozi wengine wawili wa chama hicho, pamoja na wanachama watano kwa kuhamasisha maandamano yaliyokatazwa.

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Diamond na dancers wake wahojiwa kwa masaa polisi, Oyster Bay

Diamond Platnumz pamoja na dancers wake, wamehojiwa kwa masaa kadhaa kwenye kituo cha polisi cha Oyster Bay jijini Dar es Salaam baada ya kuitwa kwenda kujieleza kutokana na kuvaa sare za jeshi la wananchi Tanzania, JWTZ, kwenye show ya Fiesta, kinyume cha sheria. Diamond Platnumz akitoka nje ya kituo cha polisi Osyter Bay, katikati ni […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Ahadi ya mabilioni ya dola kwa Afrika

Rais wa Makani Barack Obama ametangaza ahadi ya msaada wa kifedha kwa mataifa ya Afrika Marekani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani