Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri wa JK wanaswa ufisadi wa mabilioni

Watu tisa wakiwamo mawaziri wawili wa Fedha wa Serikali ya Awamu ya Nne ya Jakaya Kikwete wametajwa kushiriki kwenye kashfa ya rushwa ya Sh13 bilioni wakati Serikali ya Tanzania ilipokopa Dola za Kimarekani 600 milioni (Sh1.3 trilioni) kutoka benki ya Standard ya Uingereza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Magufuli asaka vinara ufisadi wa mabilioni

0D6A2900*Awataka waliohusika na kashfa ya Sh trilioni 1.3 watoe ushirikiano

* aliyekuwa bosi TRA, Harry Kitilya, mtoto wa Waziri wahusushwa

 

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Mahakama ya London, Uingereza kubaini ufisadi wa Sh trilioni 1.3, zilizotokana na mkopo uliotolewa na benki ya Standard ya Uingereza kwa Serikali ya Tanzania, Ikulu imeanza kusaka watu waliosababisha hasara hiyo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahojiwa kwa ufisadi wa mabilioni Mbeya

Mradi wa Maji Masoko Pipe Water Supply uliokwama kwa ufisadi wakati ukitekelezwa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, sasa umekuwa kaa wa moto baada ya waliokuwa viongozi wa halmashauri hiyo kuhojiwa kuhusiana na ufisadi wa mabilioni ya shilingi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufisadi:Mawaziri 4 kushtakiwa Kenya

Kiongozi wa mashtaka nchini kenya amesema kuwa mawaziri wanne watashtakiwa kwa makosa ya ufisadi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mawaziri 2 washtakiwa na ufisadi Kenya

Waziri wa ardhi nchini Kenya aliyesimamishwa kazi Charity Ngilu amefikishwa mahakamani na kujibu mashtaka ya kuwazuia maafisa wa shirika la kupambana na ufisadi kuchunguza stakabadhi za ardhi moja ambayo umiliki wake una utata jijini Nairobi

 

10 years ago

Vijimambo

UFISADI MAWAZIRI 4 KUSHITAKIWA HUKO KENYA


Kiongozi wa Mashtaka ametoa ruhusa ya kushtakiwa kwa mwaziri wanne
Kutumia ujumbe kwa vyombo vya habari, mkuu wa mashtaka ya umma nchini Kenya Keriako Tobiko, hii leo amevumbua yaliyomo katika hati za kesi za mawaziri wanne.

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi ya Kenya imependekeza waziri wa uchukuzi mMhandisi Michael Kamau na waziri wa leba Kazungu Kambi kushtakiwa na matumizi mabaya ya ofisi.
Mhandisi Michael Kamau anakumbwa na shutuma za kutumia fedha ubadhirifu wa fedha za umma na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufisadi: Mawaziri wote kujiuzulu Chile

Rais wa Chile Michelle Bachelet amelitaka baraza lake lote la mawaziri kujiuzulu.

 

10 years ago

Mwananchi

Timua timua Yanga yaibua ufisadi wa mabilioni ya fedha

Timua timua ya makocha ndani ya Yanga imeibua ufisadi wa zaidi ya Sh3 bilioni ndani ya klabu hiyo huku uchunguzi zaidi ukiendelea kufanyika.

 

10 years ago

Vijimambo

Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL

Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemelaMadudu zaidi yameendelea kuibuka katika sakata la mabehewa feki 274 yaliyonunuliwa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), na sasa imebainika kuwa kampuni iliyopewa zabuni ya kuleta mabehewa hayo ndiyo iliyokuwa ya bei ya juu zaidi kuliko kampuni 10 zilizokuwa zimeomba na haikuweka dhamana yoyote kama sheria ya manunuzi inavyotaka.

Aidha, imebainika pia kuwa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani