Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli asaka vinara ufisadi wa mabilioni

0D6A2900*Awataka waliohusika na kashfa ya Sh trilioni 1.3 watoe ushirikiano

* aliyekuwa bosi TRA, Harry Kitilya, mtoto wa Waziri wahusushwa

 

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Mahakama ya London, Uingereza kubaini ufisadi wa Sh trilioni 1.3, zilizotokana na mkopo uliotolewa na benki ya Standard ya Uingereza kwa Serikali ya Tanzania, Ikulu imeanza kusaka watu waliosababisha hasara hiyo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mawaziri wa JK wanaswa ufisadi wa mabilioni

Watu tisa wakiwamo mawaziri wawili wa Fedha wa Serikali ya Awamu ya Nne ya Jakaya Kikwete wametajwa kushiriki kwenye kashfa ya rushwa ya Sh13 bilioni wakati Serikali ya Tanzania ilipokopa Dola za Kimarekani 600 milioni (Sh1.3 trilioni) kutoka benki ya Standard ya Uingereza.

 

11 years ago

Mwananchi

Wahojiwa kwa ufisadi wa mabilioni Mbeya

Mradi wa Maji Masoko Pipe Water Supply uliokwama kwa ufisadi wakati ukitekelezwa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, sasa umekuwa kaa wa moto baada ya waliokuwa viongozi wa halmashauri hiyo kuhojiwa kuhusiana na ufisadi wa mabilioni ya shilingi.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli asaka kura Dar

Pg 1 magufuli – Kutumia siku tatu ndani ya majimbo 9

NA BAKARI KIMWANGA, GEITA

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, leo ataanza mikutano ya kampeni jijini Dar es Salaam.
Dk. Magufuli atawasili jijini humo baada ya kukamilisha mikutano ya kampeni ya kuomba kuchaguliwa katika nafasi hiyo kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Akiwa jijini Dar es Salaam, atafanya mikutano katika majimbo yote ambayo alikuwa hajahutubia, huku akiwanadi
wagombea ubunge wa majimbo hayo.

Kwa mujibu wa ratiba...

 

10 years ago

Mwananchi

Timua timua Yanga yaibua ufisadi wa mabilioni ya fedha

Timua timua ya makocha ndani ya Yanga imeibua ufisadi wa zaidi ya Sh3 bilioni ndani ya klabu hiyo huku uchunguzi zaidi ukiendelea kufanyika.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Magufuli Akichaguliwa Ufisadi Na Umasikini Vitaongezeka

John Magufuli Tuesday, October 6, 2015 Na Ananilea Nkya Mwandishi wa makala hii ni Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA. ****** Watu wanaokampeni kushawishi Watanzania wamchague John Magufuli kuwa Rais wa tano wa Tanzania […]

The post Magufuli Akichaguliwa Ufisadi Na Umasikini Vitaongezeka appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Nchemba: Dk Magufuli hana kashfa ya ufisadi

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema mgombea urais kupitia CCM, Dk John Magufuli hawezi kufananishwa na mgombea yeyote kwa rekodi ya utendaji na uadilifu wake kazini.

 

9 years ago

StarTV

Magufuli awaonya maafisa wanaoendeleza ufisadi

Wakati akampeni za kuelekea uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kufanyika octoba 25 mwaka huu  Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi John Pombe Magufuli ametoa onyo kali kwa maafisa walio katika taasisi za serikali  na halmashauri mbalimbali nchini wanaoendeleza na kufumbia,macho maswala ya,Rushwa na vitendo vya ufisadi na kuwa kikwa kwa maendeleo.

Magufuli ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM ambaye pia ni waziri wa Ujenzi  ametoa kauli hiyo wakati akiwahutubia...

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli na ufisadi, waasisi wakionea aibu

“SIMMONILE ndiye mtawala mkuu (paramount chief) wa jamii ya kabila la Wanyakyusa, katika kizazi c

Felix Mwakyembe

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nipeni kazi nizibe mirija ya ufisadi

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli, amesema Tanzania ni tajiri wa rasilimali lakini ipo mirija michache inayotiririsha ulaji kwa mafisadi ambayo anataka kuiziba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani