Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli asaka kura Dar

Pg 1 magufuli – Kutumia siku tatu ndani ya majimbo 9

NA BAKARI KIMWANGA, GEITA

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, leo ataanza mikutano ya kampeni jijini Dar es Salaam.
Dk. Magufuli atawasili jijini humo baada ya kukamilisha mikutano ya kampeni ya kuomba kuchaguliwa katika nafasi hiyo kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Akiwa jijini Dar es Salaam, atafanya mikutano katika majimbo yote ambayo alikuwa hajahutubia, huku akiwanadi
wagombea ubunge wa majimbo hayo.

Kwa mujibu wa ratiba...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Magufuli asaka vinara ufisadi wa mabilioni

0D6A2900*Awataka waliohusika na kashfa ya Sh trilioni 1.3 watoe ushirikiano

* aliyekuwa bosi TRA, Harry Kitilya, mtoto wa Waziri wahusushwa

 

Na Fredy Azzah, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya Mahakama ya London, Uingereza kubaini ufisadi wa Sh trilioni 1.3, zilizotokana na mkopo uliotolewa na benki ya Standard ya Uingereza kwa Serikali ya Tanzania, Ikulu imeanza kusaka watu waliosababisha hasara hiyo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana,...

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AWASHUKURU WAPIGA KURA WALIOMPA USHINDI DAR

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wapenzi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kwa wingi kwenye hafla fupi ya kumpongeza Dk. John Pombe Magufuli kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa uliofanyika oktoba 25 mwaka 2015.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia)akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahma Kinana(katikati) pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakati wa sherehe ndogo ya kushukuru wapiga kura walioipa CCM...

 

9 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA ASAKA KURA ZA CCM KATA KWA KATA,ATUA HAI,VUNJO,SAME,ARUMERU NA MWANGA

Mbunge mtarajiwa wa Moshi Mjini Ndg.Davis Mosha akisalimiana na Mwigulu Nchemba wakati wa Mkutano wa hadhara ndani ya kata ya Sokoni.Mwigulu Nchemba akimnadi Davis Mosha mbunge Mtarajiwa kwa Moshi mjini.Mwigulu Nchemba akiwasili Same Mashariki.Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Same Mashariki Bi.Anna Kilango Malecela mapema hii leo wakati alipokwenda kuinadi Ilani ya CCM.Comrade Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Same Mashariki kuhusu Umuhimu wa kufanya Uchaguzi kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Dewji Blog

Dk. Magufuli apiga kura jimboni kwake Chato

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.(PICHA NA MWANDISHI WETU).

1610819_10153509358794504_7893761609942307368_n

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aomba kura za ‘people’s’ alete mabadiliko

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema anataka kuwa rais wa Watanzania wote na kuwataka wafuasi wa kaulimbiu ya peoples inayoitikiwa power (nguvu ya umma), akimaanisha Chadema, wampe kura ili alete mabadiliko.

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. John Magufuli aomba kura kupitia simu

CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya wa ushindi ambapo mgombea wa nafasi ya urais Dk. John Magufuli (pichani) kuwapigia simu wananchi akiomba wampigie kura.

Ujumbe huo unaokwenda kwa watumiaji wa simu za mitandao mbalimbali humfikia mmiliki wa simu kupitia namba +255622333333 na mara baada ya simu hiyo kupokelewa husikika sauti ya Dk. Magufuli...

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO

 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura kwenye kituo namba moja kilichopo shule ya msingi Magufuli iliyopo Chato, mkoani Geita.
Dk. Magufuli alipiga kura yake asubuhi ya saa 4 na dakika 32.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akijitayarisha kuweka kura yake kwenye sanduku la kura .
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake ya kwanza ya urais kwenye sanduku la kura.
 Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AOMBA KURA ZA PPOZ ALETE MABADILIKO

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akiwahutubia wakazi wa Manispaa ya Morogoro na vitongoji vyake katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, jana. Picha na Juma Mtnada
Morogoro. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema anataka kuwa rais wa Watanzania wote na kuwataka wafuasi wa kaulimbiu ya peoples inayoitikiwa power (nguvu ya umma), akimaanisha Chadema, wampe kura ili alete mabadiliko.

Katika kampeni zake, Chadema, kilichoungana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani