Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli aomba kura za ‘people’s’ alete mabadiliko

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema anataka kuwa rais wa Watanzania wote na kuwataka wafuasi wa kaulimbiu ya peoples inayoitikiwa power (nguvu ya umma), akimaanisha Chadema, wampe kura ili alete mabadiliko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AOMBA KURA ZA PPOZ ALETE MABADILIKO

Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akiwahutubia wakazi wa Manispaa ya Morogoro na vitongoji vyake katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, jana. Picha na Juma Mtnada
Morogoro. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema anataka kuwa rais wa Watanzania wote na kuwataka wafuasi wa kaulimbiu ya peoples inayoitikiwa power (nguvu ya umma), akimaanisha Chadema, wampe kura ili alete mabadiliko.

Katika kampeni zake, Chadema, kilichoungana na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk. John Magufuli aomba kura kupitia simu

CHAMA cha Mapinduzi CCM kimezidi kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka unaotarajiwa kufanyika Jumapili, Oktoba 25 baada ya kubuni mkakati mpya wa ushindi ambapo mgombea wa nafasi ya urais Dk. John Magufuli (pichani) kuwapigia simu wananchi akiomba wampigie kura.

Ujumbe huo unaokwenda kwa watumiaji wa simu za mitandao mbalimbali humfikia mmiliki wa simu kupitia namba +255622333333 na mara baada ya simu hiyo kupokelewa husikika sauti ya Dk. Magufuli...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mabadiliko boraa ndiyo wanainchi wanayohitaji na sio bora mabadiliko-Dkt Magufuli

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA MUSOMA, ASEMA MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa...

 

9 years ago

Michuzi

MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-DKT MAGUFULI

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa...

 

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani aomba kura huku akinyeshewa

Ridhiwani KikweteMGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete ameomba kura kwa wakazi wa kata ya Ubena huku mvua kubwa ikimnyeshea jukwaani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgimwa aomba kura afanye maendeleo

MGOMBEA ubunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa (CCM), amewaomba wakazi wa eneo hilo kumpa kura nyingi za ndiyo kwa sababu ana uwezo wa kuyaendeleza mazuri yaliyoachwa na aliyekuwa mbunge kabla yake, marehemu Dk....

 

9 years ago

Mwananchi

Mgonjwa MOI aomba awezeshwe usafiri akapige kura

Mgonjwa Chacha Makenge aliyelazwa wodi namba 17 Sewahaji iliyopo chini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili ameandika barua kuomba asaidiwe gari la kubeba wagonjwa ili limpeleke kupiga kura na kumrejesha hospitalini hapo aendelee na matibabu.

 

9 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN AOMBA KURA DIMANI MKOA MJINI MAGHARIBI, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi na WanaCCM katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Kusini Unguja Jimbo la Makunduchi katika uwanja wa mpira wa Jamhuri.Baadhi ya wanaCCM waliohudhuria katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Jimbo la Dimani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimskiliza mgeni rasmi katika mkutano huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani