DK. SHEIN AOMBA KURA DIMANI MKOA MJINI MAGHARIBI, ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia wananchi na WanaCCM katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Kusini Unguja Jimbo la Makunduchi katika uwanja wa mpira wa Jamhuri.Baadhi ya wanaCCM waliohudhuria katika Mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Jimbo la Dimani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimskiliza mgeni rasmi katika mkutano huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziDK. SHEIN AOMBA KURA KWA WANANCHI WA DIMANI MJINI MAGHARIBI, ZANZIBAR
10 years ago
GPLKINANA AUNGURUMA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR
10 years ago
MichuziDK SHEIN AFUTARISHA MKOA WA MJINI MAGHARIBI
10 years ago
VijimamboDk Shein Afutarisha Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Ikulu.
10 years ago
Dewji Blog16 Jan
KINANA amaliza ziara yake mkoa wa mjini magharibi Zanzibar
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi dawa kwa mganga mkuu wa hospitali ya jimbo la Mpendae Dr. Omar Shaban Amran wakati alipokabidhi sehemu ya madawa kwa hospitali hiyo ambayo yametolewa na mbunge wa jimbo la Mpendae Mh. Salum Turki kiasi cha makontena ya dawa manne yenye thamani ya shilingi Bilioni Moja na pointi Nne yatakayosaidia katika hospitali zote za Zanzibar, Kinana akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi amemalizia ziara yake leo katika mkoa...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA YAFANA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MAGHARIBI.
11 years ago
MichuziMWENGE WA UHURU WAWASILI ZANZIBAR KUTOKEA DAR ES SALAM NA KUKABIDHIWA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI.
Mkuu wa Mkoa wa...
11 years ago
MichuziMWENGE WA UHURU WAWASILI VISIWANI ZANZIBAR LEO KUTOKEA DAR,WAKABIDHIWA KWA MKUU WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Mgombea jimbo la Singida magharibi, Wilson Nkhambaku ndani ya CCM aomba kura asema yeye ni jembe
Mgombea nafasi ubunge kura za maoni jimbo la Singida magharibi, Wilson Elisha Nkhambaku.(Picha na Maktaba).
Na Nathaniel Limu, Puma
MGOMBEA nafasi ubunge kura za maoni jimbo la Singida magharibi, Wilson Elisha Nkhambaku, amesema kuihama CCM mwaka 2010 na kujiunga na upinzani,kitendo hicho kilikuwa ni ajali ya kawaida ya kisiasa.
Amedai kuhama huko na kukaa upinzani kwa muda mfupi,haikuwa tamaa ya kusaka uongozi kama ambavyo baadhi ya watu wanavyofikiria.
Nkhambaku aliyasema hayo wakati...