KINANA amaliza ziara yake mkoa wa mjini magharibi Zanzibar
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi dawa kwa mganga mkuu wa hospitali ya jimbo la Mpendae Dr. Omar Shaban Amran wakati alipokabidhi sehemu ya madawa kwa hospitali hiyo ambayo yametolewa na mbunge wa jimbo la Mpendae Mh. Salum Turki kiasi cha makontena ya dawa manne yenye thamani ya shilingi Bilioni Moja na pointi Nne yatakayosaidia katika hospitali zote za Zanzibar, Kinana akiongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi amemalizia ziara yake leo katika mkoa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MAGHARIBI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mti wa viungo aina ya Mdalasini wakati akipata maelezo kutoka kwa Othman Mohamed mwenyekiti wa kikundi Kinachoendesha shamba la Spice Solution Farm lililopo Mwakaje jimbo la Mfenesini Zanzibar wakati aliposhiriki pia shughuli za upandaji wa miti katika shamba hilo, Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA AMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI
Msafara wa Katibu Mkuu,Ndugu Kinana ukikatiza katika mtaa wa Daraja Bovu wakati wakielekea kuzindua na kushiriki ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Kiungani. katika jimbo la Chumbuni,Wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi. Mbunge wa Chumbuni ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mh.Pereira Ame Silima akizungumza jambo wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana pichani kushoto aliposhiriki ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Kiungani. Mbunge wa jimbo la Mpendae Mh.Salim Hassan Abdullah...
10 years ago
VijimamboKINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA DODOMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo amemaliza ziara yake ya siku 9 katika mkoa wa Dodoma ambapo amesafiri wastani wa kilometa 2289, ametembelea wilaya 7 na majimbo 9 ya uchaguzi.Amehutubia jumla ya mikutano 90 ikiwa pamoja na mikutano ya hadhara 81 na mikutano ya ndani 9.Ameshiriki ,Amekagua,amezindua na kuweka mawe ya msingi katika jumla ya miradi 73 ikiwemo miradi ya Chama 11 na miradi ya maendeleo ya wananchi 62.Amepokea wanachama wapya wa CCM 8245 wakiwemo 44 kutoka vyama...
10 years ago
GPLKINANA AUNGURUMA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wajumbe mbalimbali na wa wana CCM wakati alipowasili wilaya ya Kiembesamaki wilaya ya Dimani mkoa wa Mjini Magharibi jana.  Katibu…
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO JIMBO LA MPENDAE,MKOA WA MJINI MAGHARIBI
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho,waliofika kwa wingi katika mkutano wa hadhara,wakati Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake katika jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi.Ndugu Kinana kabla ya kuhitimisha ziara hiyo alishiriki kazi za kijamii na kukagua miradi mbalimbali ya chama.Sehemu ya umati wa Wakazi wa wilaya ya Mpendae na wanachama wa CCM wa jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani,Mkoa wa Mjini...
11 years ago
MichuziKINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...
10 years ago
VijimamboKINANA AMALIZA ZIARA YAKE PANGANI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikinga maji wakati wa kuzindua mradi wa maji wa kata ya Mkalamo wilaya ya Pangani mkoani Tanga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha dumu la maji mmoja wa wakazi wa kata ya Mkalamo
Wananchi wa Kata ya Mkalamo wakichota maji safi na salama kwenye mradi wa maji ya kisima kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 29 ambacho kimefadhiliwa na hifadhi ya Taifa ya Saadani.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki...
10 years ago
Michuzi19 Nov
KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister cha Narunyu ambapo ameshiriki kazi ya kukamua maziwa akiwa katika ziara yake ya kikazi ya mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali lakini pia kuhimiza uhai wa Chama cha Mapinduzi CCM, Katibu mkuu Kinana katika ziara...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania