Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA YAFANA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MAGHARIBI.

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Idd mara baada ya kumaliza kikao cha halmashauri kuu ya wilaya ya Dimani.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar leo wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA AMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI

 Msafara wa Katibu Mkuu,Ndugu Kinana ukikatiza katika mtaa wa Daraja Bovu wakati wakielekea kuzindua na kushiriki ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Kiungani. katika jimbo la Chumbuni,Wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi.  Mbunge wa Chumbuni ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mh.Pereira Ame Silima akizungumza jambo wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana pichani kushoto aliposhiriki ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Kiungani.    Mbunge wa jimbo la Mpendae Mh.Salim Hassan Abdullah...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MAGHARIBI‏

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mti wa viungo aina ya Mdalasini wakati akipata maelezo kutoka kwa Othman Mohamed mwenyekiti wa kikundi Kinachoendesha shamba la Spice Solution Farm lililopo Mwakaje jimbo la Mfenesini Zanzibar wakati aliposhiriki pia shughuli za upandaji wa miti katika shamba hilo, Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2010...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AFANYA ZIARA YA MAJIMBO MANNE LEO MKOA WA MAGHARIBI.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama mkazi wa sheia ya Mbuzini,Bi.Khadija Issa Kibwana mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi na salama katika jimbo la Mfenesini,Mkoa wa Magharini.Katika ziara hiyo ambayo ni ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya chama cha CCM ya mwaka 2010,Ndugu Kinana leo ametembelea majimbo manne likiwemo la Bububu,Mfenesini,Dole na Mtoni.Katika ziara hiyo Ndugu Kinana pia ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO JIMBO LA MPENDAE,MKOA WA MJINI MAGHARIBI

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho,waliofika kwa wingi katika mkutano wa hadhara,wakati Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake katika jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi.Ndugu Kinana kabla ya kuhitimisha ziara hiyo alishiriki kazi za kijamii na kukagua miradi mbalimbali ya chama.Sehemu ya umati wa Wakazi wa wilaya ya Mpendae na wanachama wa CCM wa jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani,Mkoa wa Mjini...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE WILAYA YA WETE MKOA WA KASKAZINI PEMBA

Pichani kati ni Meneja Utawala wa shirika la Ununuzi wa Karafuu (ZSTC), Bw.Issa Hassani akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana pichani kulia alipokwenda kutembelea Ghala la Karafuu na kuona zoezi la ununuzi wa Karafuu katika Bandari ya Wete,Kaskazini Pemba. Ndugu Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wako Kisiwani Pemba kwa ziara ya Kuhimiza na Kukagua utekelezaji wa ilani ya...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA WETE MKOA WA KASKAZINI PEMBA.

Pichani kati ni Meneja Utawala wa shirika la Ununuzi wa Karafu (ZSTC),Bwa.Issa Hassani akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana pichani kulia alipokwenda kutembelea Ghala la Karafuu na kuona zoezi la ununuzi wa Karafuu katika Bandari ya Wete,Kaskazini Pemba. Ndugu Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wako Kisiwani Pemba kwa ziara ya Kuhimiza na Kukagua utekeleza wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2010. Ghala la Karafuu kama lionekanavyo...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA JIMBO LA SAME MAGHARIBI MKOANI KILIMANJARO

 ,Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukielekea katika kijiji cha Gonjanza kata ya Suji,kuzindua mradi wa masi safi na salama sambamba na kuzungumza na wananchi,wilaya ya Same Magharibi mkoani Kilimanjaro.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpungia mkono mkazi wa kijiji cha Gonjanza kata ya Suji,Msafara wa Kinana ulikuwa ukielekea katika hicho kuzindua mradi wa masi safi na salama sambamba na kuzungumza na wananchi,wilaya ya Same Magharibi mkoani Kilimanjaro. Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI MKOANI ARUSHA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi kwa kupeleka zege kwenye eneo husika wakati wa ujenzi wa daraja la Kisongo,ambalo lilikuwa kero kubwa kwa wananchi kutokana na barabara ya eneo hilo kulika na mmomonyoko wa udongo.Ujenzi wa daraja la Kisongo ukiendelea kwa kasi,ambapo pia Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana alikagua na kushiriki ujenzi wake.Baadhi ya wananchi wa Kisongo wakipita juu ya barabara ambayo imeanza kuathirika na mmomonyoko wa udongo.   Katibu Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani