KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA WETE MKOA WA KASKAZINI PEMBA.

Pichani kati ni Meneja Utawala wa shirika la Ununuzi wa Karafu (ZSTC),Bwa.Issa Hassani akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana pichani kulia alipokwenda kutembelea Ghala la Karafuu na kuona zoezi la ununuzi wa Karafuu katika Bandari ya Wete,Kaskazini Pemba. Ndugu Kinana akiwa ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wako Kisiwani Pemba kwa ziara ya Kuhimiza na Kukagua utekeleza wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2010.
Ghala la Karafuu kama lionekanavyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE WILAYA YA WETE MKOA WA KASKAZINI PEMBA
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WETE-KASKAZINI PEMBA,AWATAKA VIONGOZI WA CUF KUTENDA HAKI KWA WANANCHI.



10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO.

Ktibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Wanachama wa kikundi cha Ushirika wa Tuko Imara mara baada ya kushiriki kupanda Migomba,katika Kijiji cha Banda Maji,Wilaya ya Kaskazini A mkoa wa Kaskazini Unguja mapema leo.


10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA AMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI



10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE NDANI YA CHAKE CHAKE MKOA WA KUSINI PEMBA LEO


10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE LEO






10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA LEO.


10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AANZA ZIARA YA SIKU 16 YA UNGUJA NA PEMBA.

