KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE NDANI YA CHAKE CHAKE MKOA WA KUSINI PEMBA LEO
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana sambamba na Wananchi wakishiriki ujenzi wa Madarasa ya Skuli ya Uwandani,katika jimbo la Wawi,wilaya ya Chake Chake,Mkoa Kusini Pemba.Kwa mujibu wa taarifa iliyosomwa mbele ya katibu Mkuu Ndugu Kinana,imeeleza kuwa mradi wa ujenzi wa jengo hilo litakalokuwa na jumla ya vyumba sita,litagharimu kiasi cha shilingi milioni 18 zitakazomilisha mradi huo. Katibu Mkuu wa CCM na ujumbe wake pamoja na wananchi wakikatiza kwenye shamba la miti linalosimamiwa na Kikundi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO.
Ktibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Wanachama wa kikundi cha Ushirika wa Tuko Imara mara baada ya kushiriki kupanda Migomba,katika Kijiji cha Banda Maji,Wilaya ya Kaskazini A mkoa wa Kaskazini Unguja mapema leo.
katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akishiriki kupanda Mgomba katika shamba la Kikundi cha Ushirika wa Tuko Imara unaojishughulisha na Kilimo cha Migomba na Mbogamboga katika Kijiji cha Banda Maji,Wilaya ya Kaskazini A mkoa wa Kaskazini Unguja mapema leo. Mbunge wa...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA AMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA WETE MKOA WA KASKAZINI PEMBA.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE NDANI YA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
10 years ago
GPLKATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE WILAYA YA WETE MKOA WA KASKAZINI PEMBA
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE WETE-KASKAZINI PEMBA,AWATAKA VIONGOZI WA CUF KUTENDA HAKI KWA WANANCHI.
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI IRAMBA LEO,AENDELEA NA ZIARA YAKE
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE BUKOBA VIJIJINI LEO MKOANI KAGERA.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...