Mabadiliko boraa ndiyo wanainchi wanayohitaji na sio bora mabadiliko-Dkt Magufuli
Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s72-c/_MG_5213.jpg)
DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA MUSOMA, ASEMA MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO
![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V3NXh4LQFcI/VfMYKjOzTtI/AAAAAAAC-9E/NPLO1xXAxGE/s640/_MG_5242.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s72-c/_MG_5213.jpg)
MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-DKT MAGUFULI
![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6tB5GfgHDpE/VfMY1jMfO5I/AAAAAAAC-9s/7u7KRNpoCzQ/s640/_MG_5246.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GykVw44HF_Y/XufiPYaL0TI/AAAAAAALt9w/C7WNEcIWcDkwxesEh48Z1p_2n0LKaYZXQCLcBGAsYHQ/s72-c/JPEG.-NA.-1.jpg)
Dkt. Chaula aahidi kuleta mabadiliko Sekta ya Mawasiliano, asisitiza uwajibikaji na mahusiano bora kazini
![](https://1.bp.blogspot.com/-GykVw44HF_Y/XufiPYaL0TI/AAAAAAALt9w/C7WNEcIWcDkwxesEh48Z1p_2n0LKaYZXQCLcBGAsYHQ/s640/JPEG.-NA.-1.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na wafanyakazi wa Sekta yake katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa TBA, Dodoma. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Jim Yonazi na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utumishi na Rasilimali Watu, Kitolina Kippa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/JPEG.-NA.-2.jpg)
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Mawasiliano, Bi Laurencia Masigo, akiwasilisha hoja za wafanyakazi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na...
9 years ago
MichuziMCHAGUENI DKT MAGUFULI NDIYE ATAKAYEWEZA KULETA MABADILIKO YA KWELI-KINANA
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Lowassa: Mimi ndiyo nitaleta mabadiliko CCM
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Prof Jay: Vijana ndiyo watakaoleta mabadiliko
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Kocha bora wa dunia ataka mabadiliko
11 years ago
Michuzi19 Mar
TASWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) iliyokutana jijini Dar es Salaam wiki iliyopita ilikubaliana kufanya mabadiliko makubwa katika Tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania zinazotolewa kila mwaka na TASWA. Kikao kilijiridhisha kuwa tuzo za TASWA zina heshima kubwa na wanamichezo hapa nchini wanazithamini na kuzitegemea kuliko tuzo za aina nyingine zozote. Lakini kikao kilikubaliana kuwa pamoja na hayo bado kuna changamoto mbalimbali kuhusiana...
9 years ago
Habarileo15 Sep
Bashe: Magufuli anaakisi mabadiliko
MGOMBEA ubunge wa Nzega Mjini kupitia CCM, Hussein Bashe, amesema yeye ni muumini wa mabadiliko ndani ya CCM na kwamba mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ndiye anayeakisi mabadiliko anayotarajia.