Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgimwa aomba kura afanye maendeleo

MGOMBEA ubunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa (CCM), amewaomba wakazi wa eneo hilo kumpa kura nyingi za ndiyo kwa sababu ana uwezo wa kuyaendeleza mazuri yaliyoachwa na aliyekuwa mbunge kabla yake, marehemu Dk....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtoto wa Mgimwa ashinda kura za maoni

UCHAGUZI mdogo katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, umeanza kupamba moto ambapo jana mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo na Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa, ameibuka kidedea katika kura za maoni za kumpata mgombea wa ubunge katika jimbo hilo kupitia CCM.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge Mgimwa ashukuru wapiga kura

MBUNGE mpya wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amefanya ziara katika baadhi ya kata za jimbo hilo, kuwashukuru wananchi kwa kumchagua.

 

11 years ago

Michuzi

NIKOPESHENI IMANI YENU NAMI NITAWALIPA KWA MAENDELEO-MGIMWA.

 Wananchi wa kijiji cha Ilandutwa,kata ya Mgama,Iringa Vijijini wakinyanyua mikono yao juu kumuunga mkono Mgombea Ubunge jimbo la kalenga,Ndugu. Godfrey Mgimwa.Uchaguzi wa jimbo hilo unatarajiwa kufanyika Machi 16 siku ya jumapili.  Wananchi wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa kampeni wa CCM,kwa ajili kuzisikiliza sera za mgombea Ubunge wa Jimbo la kalenga,Ndugu Godfrey Mgimwa,uliofanyika kwenye kijiji cha Ilandutwa,kata ya Mgama Iringa Vijijini  Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga...

 

9 years ago

Mwananchi

Lukuvi aomba kuchaguliwa amalizie miradi ya maendeleo

Aliyekuwa mbunge wa Isimani (CCM), mkoani Iringa, William Lukuvi anayetetea tena kiti hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, amewaomba wakazi wa jimbo hilo kumchagua kwa mara nyingine ili akamilishe miradi ya maendeleo aliyoianzisha.

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKALEBELA, LUKUVI NA MGIMWA WAPITA KWENYE KURA ZA MAONI

MKUU wa wilaya ya Wanging’ombe, Frederick Mwakalebela ameibuka kidedea katika kura za maoni za kutafuta kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini kwa kuwabwaga vibaya washindani wenzake 12. (Picha na Friday Simbaya)Iringa: ZOEZI la kuhesabu kura za kuwania ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kwa majimbo matatu limeendelea vizuri.
Jimbo la Iringa Mjini.
Jimbo la Iringa mjini lilikuwa na wagombea 13 ambao ni FredrickMwakalebela ameshinda kwa kura 40388, Jesca...

 

11 years ago

Habarileo

Ridhiwani aomba kura huku akinyeshewa

Ridhiwani KikweteMGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete ameomba kura kwa wakazi wa kata ya Ubena huku mvua kubwa ikimnyeshea jukwaani.

 

11 years ago

GPL

GODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO KALENGA‏

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani yao na kumpa kura za ndiyo siku ya Machi 16 Jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.   Mgombea ubunge wa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani