Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto wa Mgimwa ashinda kura za maoni

UCHAGUZI mdogo katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, umeanza kupamba moto ambapo jana mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo na Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa, ameibuka kidedea katika kura za maoni za kumpata mgombea wa ubunge katika jimbo hilo kupitia CCM.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM, KUGOMBEA JIMBO LA KALENGA

Mtoto wa marehemu Dk. Mgimwa, Godfrey Mgimwa atakayegombea Jimbo la Kalenga CCM. MATOKEO ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo huku mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa  Jimbo hilo, Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo. Godfrey Mgimwa amepata  kura 342 huku Kiswaga akipata kura 170 na Mkuu wa Wilaya ya...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI KUGOMBEA UBUNGE WA KALENGA

 Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa niaba ya familia wakati wa mazishi ya baba yake kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Na Francis Godwin, Iringa
Mtokeo  ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo  huku mtoto wa aliyekuwa mbunge  wa  jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo.
Godfrey Mgimwa amepata  kura 342 huku Kiswaga  akipata...

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKALEBELA, LUKUVI NA MGIMWA WAPITA KWENYE KURA ZA MAONI

MKUU wa wilaya ya Wanging’ombe, Frederick Mwakalebela ameibuka kidedea katika kura za maoni za kutafuta kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini kwa kuwabwaga vibaya washindani wenzake 12. (Picha na Friday Simbaya)Iringa: ZOEZI la kuhesabu kura za kuwania ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kwa majimbo matatu limeendelea vizuri.
Jimbo la Iringa Mjini.
Jimbo la Iringa mjini lilikuwa na wagombea 13 ambao ni FredrickMwakalebela ameshinda kwa kura 40388, Jesca...

 

11 years ago

GPL

RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KURA ZA MAONI CHALINZE

Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura leo. ...akipanga mstari (katikati) katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga. Matokeo:
Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,
Ilikuwa hivi:_
1.Ridhiwani…

 

10 years ago

Michuzi

January Makaba ashinda kura za maoni CCM, Bumbuli

Mh January amepewa tena ridhaa ya kuendelea kugombea Jimbo la Bumbuli na wana CCM katika uchaguzi uliofanyika ndani ya chama na Kuibuka kinara kwa kura nyingi na zakishindo dhidi ya wagombea wenzake.Hivi Ndivyo Matokeo yalivyokuwa.....

 

10 years ago

Mwananchi

Lembeli ashinda kura za maoni Chadema, Bulaya almanusura

>Wabunge wawili waliohama CCM hivi karibuni, James Lembeli na Ester Bulaya wamepitishwa katika kura za maoni kuwania ubunge kupitia chama chao kipya.

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU ASHINDA KURA ZA MAONI UBUNGE CCM SINGIDA KASKAZINI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameibuka na ushindi wa kishindo katika kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania ubunge Jimbo la Singida Kaskazini.
Nyalandu, ambaye alikitetea nafasi hiyo aliwashinda wagombea wenzake saba waliojitokeza kupambana naye, ambapo aliongoza kwenye kata zote za jimbo hilo na kuwaacha mbali wapinzani wake.
Mwanasiasa huyo kijana na mwenye ushawishi mkubwa, aliongoza katika Kata za Ikhanoda, Msange, Itaja, Mwasauya, Mrama, Maghojoa,...

 

10 years ago

Michuzi

Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99% kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba

Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99 % kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba
 Masimba          Mwigulu 88Jairo 1Kilimba 0Amon 0
MlandalaMwigulu 50Jairo 0Kilimba 3Amon0
Mang'ole Mwigulu 173Jairo 6Kilimba 0Amon 0
MSAIMwigulu 294Jairo 35Kilimba 59
MALUGAMwigulu 322Kilimba 5Jailo 0
 UWANZAMwigulu 172Jairo 8Kirimba 23Amon 2
 Nganguri
Mwigulu 727kilimba 2jairo 2Amon 0Mwigulu kashinda

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani