Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM, KUGOMBEA JIMBO LA KALENGA

Mtoto wa marehemu Dk. Mgimwa, Godfrey Mgimwa atakayegombea Jimbo la Kalenga CCM. MATOKEO ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo huku mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa  Jimbo hilo, Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo. Godfrey Mgimwa amepata  kura 342 huku Kiswaga akipata kura 170 na Mkuu wa Wilaya ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

news alert: MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI KUGOMBEA UBUNGE WA KALENGA

 Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa niaba ya familia wakati wa mazishi ya baba yake kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Na Francis Godwin, Iringa
Mtokeo  ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo  huku mtoto wa aliyekuwa mbunge  wa  jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo.
Godfrey Mgimwa amepata  kura 342 huku Kiswaga  akipata...

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto wa Mgimwa ashinda kura za maoni

UCHAGUZI mdogo katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, umeanza kupamba moto ambapo jana mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo na Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa, ameibuka kidedea katika kura za maoni za kumpata mgombea wa ubunge katika jimbo hilo kupitia CCM.

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KURA ZA MAONI ZA CCM JIMBO LA KALENGA

Wagombea wakiwa katika mapozi kabla ya kuanza kwa zoezi la kupiga kura halijaanza
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakipiga makofi wakati wakisubiri zoezi la upigaji kura lianze wageni rasmi Msanii wa CCM Ally Bin Ahamed maarufu kwa jina la mpemba asilia akitoa mashairi ya kuipongeza CCM wajumbe wengine
Wagombea nao wakijifariji kwa makofi ya wajumbe

KAIMU Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga amewasihi wajumbe wa mkutano huo kumchangua...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MATOKEO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA CHALINZE:,RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA

Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshinda kwa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze kupitia CCM. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo kijijini Msata.  Ridhiwani   Kikwete amepata kura kura 758 kati ya kura 1321 zilizopigwa huku mpinzani wake wa karibu mdau wa soka Shaaban Iman Madega akiwa na kura 335. Wapiga kura za maoni kumchagua mgombea wa kiti cha Ubunge cha Chalinze wakiwa tayari kupiga kura zao leo Msata, Chalinze




 

10 years ago

Michuzi

Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99% kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba

Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99 % kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba
 Masimba          Mwigulu 88Jairo 1Kilimba 0Amon 0
MlandalaMwigulu 50Jairo 0Kilimba 3Amon0
Mang'ole Mwigulu 173Jairo 6Kilimba 0Amon 0
MSAIMwigulu 294Jairo 35Kilimba 59
MALUGAMwigulu 322Kilimba 5Jailo 0
 UWANZAMwigulu 172Jairo 8Kirimba 23Amon 2
 Nganguri
Mwigulu 727kilimba 2jairo 2Amon 0Mwigulu kashinda

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani