NEWS ALERT: MATOKEO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA CHALINZE:,RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA
Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshinda kwa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze kupitia CCM. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo kijijini Msata. Ridhiwani Kikwete amepata kura kura 758 kati ya kura 1321 zilizopigwa huku mpinzani wake wa karibu mdau wa soka Shaaban Iman Madega akiwa na kura 335.
Wapiga kura za maoni kumchagua mgombea wa kiti cha Ubunge cha Chalinze wakiwa tayari kupiga kura zao leo Msata, Chalinze
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KURA ZA MAONI CHALINZE
11 years ago
Michuzi07 Apr
RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KWA KISHINDO UBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE
![](https://2.bp.blogspot.com/-K7hEfHq8qac/U0GqM21QUPI/AAAAAAABeag/fu28H1wc3cE/s1600/IMG_7134.jpg)
Na John Bukuku Ridhiwani Kikwete aliyekuwa mgombea ubunge uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kupitia CCM ameibuka kidedea kwa asilimia 86.61 katika uchaguzi huo kwa kuwamwaga wagombea wengine kutoka vyama vinne vya upinzani.
Matokeo hayo rasmi yametangazwa usiku wa kuamkia leo April 7, 2014 majira ya saa nane usiku katika shule ya sekondari Chalinze na Msimamizi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini
![](http://4.bp.blogspot.com/-fhPygtaQPtk/Vb4bsbbpRKI/AAAAAAAHtTo/oHcxbFJRyxs/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto 6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri 385Brian Baraka 263
![](http://1.bp.blogspot.com/-LMP3afylAhU/Vb4bssanzKI/AAAAAAAHtTw/-b5C-BzlmoM/s640/unnamed%2B%252833%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi09 Feb
news alert: MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI KUGOMBEA UBUNGE WA KALENGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-U6ch77ZthSw/Usr-azhxvWI/AAAAAAAFFMM/S-5gzAGzO08/s1600/w74.jpg)
Mtokeo ya kura za maoni ndani ya CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo huku mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa kishindo katika nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo.
Godfrey Mgimwa amepata kura 342 huku Kiswaga akipata...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PHKC1AOWfhxWrhpbQ0UL7NDYr28waFGyytaI2ECy3jhNHgCHIRfXCF1LmEeifMckKtkQ6zphqtERK3nzJFaZ-HGSnWMC0Y6Y/godfreymgimwa.jpg?width=650)
MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM, KUGOMBEA JIMBO LA KALENGA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-X3SliI1tTo0/Ux6mOJ9LOJI/AAAAAAAFS1M/43tPVoZ_EQc/s72-c/Ready.jpg)
CCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE
![](https://4.bp.blogspot.com/-SopthPE7gj0/Ux6YTsJC85I/AAAAAAAAkYk/D48yjAdviPQ/s1600/ridh.jpg)
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za zitaongozwa na Katibu wa...