Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKALEBELA, LUKUVI NA MGIMWA WAPITA KWENYE KURA ZA MAONI

MKUU wa wilaya ya Wanging’ombe, Frederick Mwakalebela ameibuka kidedea katika kura za maoni za kutafuta kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Iringa Mjini kwa kuwabwaga vibaya washindani wenzake 12. (Picha na Friday Simbaya)Iringa: ZOEZI la kuhesabu kura za kuwania ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kwa majimbo matatu limeendelea vizuri.
Jimbo la Iringa Mjini.
Jimbo la Iringa mjini lilikuwa na wagombea 13 ambao ni FredrickMwakalebela ameshinda kwa kura 40388, Jesca...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtoto wa Mgimwa ashinda kura za maoni

UCHAGUZI mdogo katika Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, umeanza kupamba moto ambapo jana mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo na Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa, ameibuka kidedea katika kura za maoni za kumpata mgombea wa ubunge katika jimbo hilo kupitia CCM.

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI CCM, KUGOMBEA JIMBO LA KALENGA

Mtoto wa marehemu Dk. Mgimwa, Godfrey Mgimwa atakayegombea Jimbo la Kalenga CCM. MATOKEO ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo huku mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa  Jimbo hilo, Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo. Godfrey Mgimwa amepata  kura 342 huku Kiswaga akipata kura 170 na Mkuu wa Wilaya ya...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: MTOTO WA MGIMWA ASHINDA KURA ZA MAONI KUGOMBEA UBUNGE WA KALENGA

 Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa niaba ya familia wakati wa mazishi ya baba yake kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Na Francis Godwin, Iringa
Mtokeo  ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wa kuamkia leo  huku mtoto wa aliyekuwa mbunge  wa  jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo, akifuatiwa na Jackson Kiswaga katika matokeo hayo.
Godfrey Mgimwa amepata  kura 342 huku Kiswaga  akipata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wizi wa kura hadi kwenye kura ya maoni!

WAKATI Bunge Maalumu la Katiba linaendelea, kuna wanaosema kwamba hata kura ya maoni haiwezi kusaidia sana maana hapa Tanzania kuna hofu ya wizi wa kura. Tume ya uchaguzi tuliyonayo sasa...

 

9 years ago

GPL

DK MAGUFULI AITEKA IRINGA AWAFAGILIA MWAKALEBELA, MGIMWA

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa Wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Samora, mjini Iringa.  Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, William Lukuvi akitangaza wasifu wa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli wakati wa…

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba liahirishwe, twende kwenye kura ya maoni

Bunge Maalumu la Katiba linatarajiwa kuanza mnamo Agosti 5 mwaka huu, likiendeleza mjadala wa siku 70 wa rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

CloudsFM

DIAMOND ANAENDELEA KUKIMBIZA KWENYE KURA ZA MAONI BET

Kwenye mchakato wa kuelekea kwenye tuzo za BET, msanii pekee anayeiwakilisha Afrika Mashariki kwenye tuzo hizo kipengele cha Best International Act Diamond Platnumz anaendelea kumwacha mbali msanii ambaye anaonekana kuwa tishio kidogo kwake Davido kutoka nchini Nigeria, hiyo ni kwa nguvu za Watanzania, Wakenya,Waganda,Rwanda na Burundi,ili kumwezesha Diamond Platnumz kuchukua tuzo hiyo inatakiwa kucoment kwenye mitandao ya kijamii inayoendeshwa na BET Facebook,Twitter na Instagram.Mpaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani