NIKOPESHENI IMANI YENU NAMI NITAWALIPA KWA MAENDELEO-MGIMWA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-k5LKlcs02KM/UyIYx4KmCUI/AAAAAAACcWQ/0fansu72AXQ/s72-c/5.jpg)
Wananchi wa kijiji cha Ilandutwa,kata ya Mgama,Iringa Vijijini wakinyanyua mikono yao juu kumuunga mkono Mgombea Ubunge jimbo la kalenga,Ndugu. Godfrey Mgimwa.Uchaguzi wa jimbo hilo unatarajiwa kufanyika Machi 16 siku ya jumapili.
Wananchi wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa kampeni wa CCM,kwa ajili kuzisikiliza sera za mgombea Ubunge wa Jimbo la kalenga,Ndugu Godfrey Mgimwa,uliofanyika kwenye kijiji cha Ilandutwa,kata ya Mgama Iringa Vijijini
Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/127.jpg)
GODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO KALENGA
10 years ago
VijimamboIMARISHENI MAPATO YA NDANI KWA MAENDELEO YENU-MTAALAM
Na...
10 years ago
Michuzi12 Nov
IMARISHENI MAPATO YA NDANI KWA MAENDELEO YENU - MTAALAMU
9 years ago
MichuziJENGENI IMANI NA CCM KWA MAENDELEO ZAIDI - JIMSONI MHAGAMA
11 years ago
Tanzania Daima26 Feb
Mgimwa aomba kura afanye maendeleo
MGOMBEA ubunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa (CCM), amewaomba wakazi wa eneo hilo kumpa kura nyingi za ndiyo kwa sababu ana uwezo wa kuyaendeleza mazuri yaliyoachwa na aliyekuwa mbunge kabla yake, marehemu Dk....
10 years ago
GPLMBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Tutawapima kwa ahadi na matamko yenu
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Endelezeni miradi yenu kwa jamii