Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mbunge wa kalenga mhe godfrey mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli

Mbunge  wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli akienda kutembelea wapiga kura wake kata ya Ifunda eneo la Kivalali  Wananchi wa Kivalali kata ya Ifunda  wakijiandaa kupeana mikono na mbunge Mgimwa  Mbunge Mgimwa akisalimiana na wanakikundi cha burudani Kivalali kata ya Ifunda

 

10 years ago

GPL

MBUNGE MGIMWA APIGANIA UMEME KALENGA, WANANCHI WAKE WAMPONGEZA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli  kutembelea wananchi  wake. MBUNGE wa Kalenga Godfrey Mgimwa (CCM) ameiomba Serikali kupeleka umeme katika vijiji vilivyopitiwa na umeme huku vyenyewe vikikosa Nishati hiyo. Alitoa ombi hilo wakati akiuliza swali la nyongeza Bungeni ,Mgimwa alivitaja vijiji vilivyopitiwa na umeme ni Kipela kata ya Nzihi,Wenda kata ya Mseke , Tagamenda kata ya...

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA‏

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kupiga ngoma ya asili ya Kihehe wakati alipowasili katika kijiji cha Kikombwe Kata ya Lwamgungwe katika jimbo la Kalenga Wilaya ya Iringa vijijini mkoani humo leo kwa ajili ya mkutano wa kampeni ambapo uchaguzi wa kuziba pengo la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu Dr. William Mgimwa utafanyika Machi 16 mwaka huu.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa achangia bati 100 ujenzi wa shule ya msingi lukwambe na zahanati ya kijiji cha mlangali

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr  Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa.


Mbunge wa  jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa kulia akikabidhi mchango wake wa Tsh 250,000 kwa ajili ya kusaidia kazi ndogo...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE MGIMWA ACHANGIA VICOBA TANANGOZI ,ASEMA NDOTO YAKE KUWA NA BENKI YA WANANCHI WA JIMBO LA KALENGA

Wanachama  wa  kikundo cha  VICOBA cha  Lukindo woman Group wakimvisha  mavazi ya uchif mbunge wa  jimbo la kalenga Bw Godfrey Mgimwa baada ya  kufurahishwa na jitihada zake  jimboni  humoWanachama  wa  VICOBA  Tanangozi  Kalenga  wakimshangilia mbunge  wa  jimbo la kalenga Godfrey MgimwaMbunge wa   jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa katikati akipokelewa kijiji cha Tanangozi wakati  wa harambee ya  kuchangia VICOBA.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WA UKAWA LYAMGUNGWE WADAI KUVUTIWA NA UTENDAJI WA MBUNGE MGIMWA KALENGA WAJIUNGA CCM‏

Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya Chadema kutoka kwa mmoja kati ya viongozi wa Chadema kata ya Lyamgungwe aliyehamia CCM . Mbunge Mgimwa  akikagua miradi ya maendeleo  jimboni kwake. Wananchi  wa Lyamgungwe  wakiwa  wameongozana na mbunge wake  kwenda kutembelea  miradi ya maendeleo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani