mbunge wa kalenga mhe godfrey mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli akienda kutembelea wapiga kura wake kata ya Ifunda eneo la Kivalali
Wananchi wa Kivalali kata ya Ifunda wakijiandaa kupeana mikono na mbunge Mgimwa
Mbunge Mgimwa akisalimiana na wanakikundi cha burudani Kivalali kata ya Ifunda
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM23 Jun
MBUNGE MGIMWA ATUMIA USAFIRI WA BAISKELI KUWAFIKIA WAPIGA KURA WAKE JIMBONI
MBUNGE wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa amevunja rekodi ya wabunge wa jimbo hilo na majimbo mengine ya mkoa wa Iringa na Tanzania kwa kuachana na matumizi ya magari ya kifahari na kuamua kutumia usafiri wa Baiskeli kuwatembelea wapiga kura wake.
Mbunge huyo alifikia hatua hiyo leo baada ya mmoja kati ya magari yake mawilio yaliyokuwa katika msafara wake kukwama kulazimika kutumia usafiri huo wakati wa ziara yake ya siku mbili ya kuwatembelea wapiga kura wake na kupokea changamoto mbali...
10 years ago
GPLMBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA
10 years ago
Michuzi01 Oct
MBUNGE MGIMWA AKIJUMUIKA NA WAPIGA KURA WAKE KWA KUCHEZA BAO
10 years ago
MichuziMbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa achangia bati 100 ujenzi wa shule ya msingi lukwambe na zahanati ya kijiji cha mlangali
Mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa kulia akikabidhi mchango wake wa Tsh 250,000 kwa ajili ya kusaidia kazi ndogo...
11 years ago
Habarileo08 May
Mbunge Mgimwa ashukuru wapiga kura
MBUNGE mpya wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amefanya ziara katika baadhi ya kata za jimbo hilo, kuwashukuru wananchi kwa kumchagua.
11 years ago
Michuzi10 Mar
11 years ago
Michuzi07 Mar