Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge Mgimwa ashukuru wapiga kura

MBUNGE mpya wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amefanya ziara katika baadhi ya kata za jimbo hilo, kuwashukuru wananchi kwa kumchagua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MBUNGE MGIMWA AKIJUMUIKA NA WAPIGA KURA WAKE KWA KUCHEZA BAO


Mbunge  wa  jimbo la kalenga Godfrey Mgimwa  kushoto akicheza  bao na mpiga  kura wake Yohanes Chotelo wa kijiji cha Kiponzero baada ya  mbunge  huyo kumaliza  ziara  yake  katika  kijiji  cha Kiponzero hivi karibuni (picha na matukiodaima.co.tz)

 

11 years ago

CloudsFM

MBUNGE MGIMWA ATUMIA USAFIRI WA BAISKELI KUWAFIKIA WAPIGA KURA WAKE JIMBONI

MBUNGE wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa amevunja rekodi ya wabunge wa jimbo hilo na majimbo mengine ya mkoa wa Iringa na Tanzania kwa kuachana na matumizi ya magari ya kifahari na kuamua kutumia usafiri wa Baiskeli kuwatembelea wapiga kura wake.Mbunge huyo alifikia hatua hiyo leo baada ya mmoja kati ya magari yake mawilio yaliyokuwa katika msafara wake kukwama kulazimika kutumia usafiri huo wakati wa ziara yake ya siku mbili ya kuwatembelea wapiga kura wake na kupokea changamoto mbali...

 

11 years ago

Michuzi

mbunge wa kalenga mhe godfrey mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli

Mbunge  wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli akienda kutembelea wapiga kura wake kata ya Ifunda eneo la Kivalali  Wananchi wa Kivalali kata ya Ifunda  wakijiandaa kupeana mikono na mbunge Mgimwa  Mbunge Mgimwa akisalimiana na wanakikundi cha burudani Kivalali kata ya Ifunda

 

11 years ago

GPL

MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge Moshi Vijijini awapiga jeki wapiga kura

MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro Dk Cyril Chami, ametoa jumla ya Shilingi milioni nne kwa kikundi cha Wanawake wa Kanisa la Katoliki la Kindi (WAWATA) kuwawezesha kwenye mradi wa mashine za kusaga na kukoboa mahindi.

 

5 years ago

CCM Blog

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

5 years ago

Michuzi

WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt.  Wilson Charles Mahera Baadhi ya viongozi  wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani