WAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage akizungumza wakati wa mkutano na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusu mafanikio ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Kwanza kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Nec, Dkt. Wilson Charles Mahera
Baadhi ya viongozi wa Vyama vya Siasa na wadau wengine wakisikiliza kwa makini wakati Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Kaijage akihutubia katika mkutano...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogWAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
NEC yajipanga uboreshaji daftari la wapiga kura
“NINAPENDA niwahakikishie ninyi wanahabari na umma wa Watanzania kuwa kazi hii itafanyika kwa uangalifu mkubwa na inatarajiwa kukamilika kwa muda uliopangwa”. Hiyo ni kauli ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gRI3cSK2_GI/XpcibL5rqWI/AAAAAAALnFk/Mq0hDYp9I2QUWMrxlMnMaLVvuCamitMbQCLcBGAsYHQ/s72-c/index.png)
NEC yatoa mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura kwa mikoa 12
![](https://1.bp.blogspot.com/-gRI3cSK2_GI/XpcibL5rqWI/AAAAAAALnFk/Mq0hDYp9I2QUWMrxlMnMaLVvuCamitMbQCLcBGAsYHQ/s320/index.png)
Shughuli ya utoaji wa mafunzo imefanyika kwa mikoa 12 nchini,na itakwenda sambamba na zoezi la uwekaji wazi wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza na uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awumu ya pili.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, wakati...
5 years ago
CCM BlogNEC KUTUMIA VIFAA KINGA VYA CORONA KATIKA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA
Na Richard Mwaikenda
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imenunua vifaa kinga kujihadhari na Corona wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili na uwekaji wazi Daftari unaotarajiwa kuanza Aprili 17 mwaka huu.
Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam hivi karibuni.
"Baada ya mashauriano na wadau wakuu, Tume imeona...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
NEC yaanza uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa (BVR)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.(PICHA ZOTE NA HILLARAY SHOO Mo Blog, SINGIDA).
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.
Lengo la...
10 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-BLRr-PN7BLM/VSGIuvM4ylI/AAAAAAADSF8/fCxHtZG4-JQ/s72-c/NEC(47).jpg)
TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI
![](https://1.bp.blogspot.com/-BLRr-PN7BLM/VSGIuvM4ylI/AAAAAAADSF8/fCxHtZG4-JQ/s1600/NEC(47).jpg)
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TL07x06Iox0/VW-weCY7FCI/AAAAAAAHbz0/KwHYJnX9C7o/s72-c/01.png)