NEC KUTUMIA VIFAA KINGA VYA CORONA KATIKA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA
Na Richard Mwaikenda
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imenunua vifaa kinga kujihadhari na Corona wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili na uwekaji wazi Daftari unaotarajiwa kuanza Aprili 17 mwaka huu.
Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam hivi karibuni.
"Baada ya mashauriano na wadau wakuu, Tume imeona...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI WAPIGA KURA NEC
5 years ago
CCM BlogWAPIGA KURA WAFIKIA MIL. 30 UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA NEC
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
NEC yajipanga uboreshaji daftari la wapiga kura
“NINAPENDA niwahakikishie ninyi wanahabari na umma wa Watanzania kuwa kazi hii itafanyika kwa uangalifu mkubwa na inatarajiwa kukamilika kwa muda uliopangwa”. Hiyo ni kauli ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
5 years ago
MichuziNEC yatoa mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura kwa mikoa 12
Shughuli ya utoaji wa mafunzo imefanyika kwa mikoa 12 nchini,na itakwenda sambamba na zoezi la uwekaji wazi wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza na uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awumu ya pili.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, wakati...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
NEC yaanza uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa (BVR)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.(PICHA ZOTE NA HILLARAY SHOO Mo Blog, SINGIDA).
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.
Lengo la...
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
5 years ago
CHADEMA Blog13 Feb
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA (DKWK)
5 years ago
CCM BlogUWEKAJI WAZI NA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI KUANZA KESHO APRILI 17 KATIKA MIKOA 12
Mwenyekiti wa NEC, Jajia mstaafu Semistocles Kaijage
Na Richard Mwaikenda
UWEKAJI wazi wa Daftari la Awali na Uboreshaji wa Daftari Wapiga Kura Awamu ya Pili, unaanza rasmi kesho Ijumaa 17 Aprili, 2020. na kukamilika Mei 4, 2020 kwa Nchi nzima.
Hayo yametangazwa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage (pichani) wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siiasa na wadau wengine kwenye Ukumbi wa Mikutano wa...