Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yatoa mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura kwa mikoa 12

TUME ya Taifa ya uchaguzi nchini (NEC), imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo  maofisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Wilaya na kata,maofisa Tehama wa Wilaya,waandishi wa vituo vya kupigia kura  na BVR Operator.

Shughuli  ya utoaji wa mafunzo imefanyika kwa mikoa 12 nchini,na  itakwenda  sambamba na zoezi la uwekaji wazi wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza na  uboreshaji wa  daftari la kudumu la wapiga kura awumu ya pili.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

NEC yaanza uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa (BVR)

jaji..3

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.(PICHA ZOTE NA HILLARAY SHOO Mo Blog, SINGIDA).

MWENYKIT

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.

Lengo la...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KWA VIJANA WA WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA

Na Takdir Ali –Maelezo Zanzibar.
Viongozi wa vyama vya siasa na Dini wametakiwa kuwashajiisha wafuasi wao kushiriki katika daftari la kudumu la wapiga kura ili kuweza kujikinga na matatizo mbali mbali yanayoweza kujitokeza ikiwemo kokosa haki zao. Amesema Daftari la kudumu la wapiga kura lipo kisheria si kwa matakwa ya kisiasa hivyo viongozi hao wanapaswa kutumia nafasi zao kuwaelimisha wafuasi wao kushiriki kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea...

 

11 years ago

Michuzi

TAaRIFA ZA KUANZA KWA ZAOEZI LA Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura zasisimua wengi

Wananchi wengi wamesisimkwa na kufurahishwa na taarifa kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarijia kuanza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mapema mwezi Septemba 2014
Wameseme maandalizi hayo ambayo ni ya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na upigaji wa Kura za Maoni kwa ajili ya mchakato wa Katiba Mpya Hayo yamekuja wakati muafaka.
 Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Damian Lubuva alibainisha mbele ya wahariri wa vyombo vya habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani