Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MIKOA YA GEITA, SIMIYU, MWANZA, SHINYANGA, ARUSHA , KILIMANJARO, MARA NA MANYARA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NEC yatoa mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura kwa mikoa 12

TUME ya Taifa ya uchaguzi nchini (NEC), imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo  maofisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Wilaya na kata,maofisa Tehama wa Wilaya,waandishi wa vituo vya kupigia kura  na BVR Operator.

Shughuli  ya utoaji wa mafunzo imefanyika kwa mikoa 12 nchini,na  itakwenda  sambamba na zoezi la uwekaji wazi wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya kwanza na  uboreshaji wa  daftari la kudumu la wapiga kura awumu ya pili.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara

Manyanda (1)

Na Mwandishi Wetu

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya pili ya ziara yake katika Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Katibu wa Tume hiyo Wakili Fredrick Manyanda (pichani), Tume hiyo itatembelea mikoa hiyo kuanzia keshokutwa Alhamisi, Oktoba 23, mwaka huu hadi tarehe Novemba...

 

10 years ago

Michuzi

UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MKOANI NJOMBE

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawatangazia wananchi wote wa Mkoa wa Njombe, kuwa itaanza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia teknolojia ya “Biometric Voters Registration” kuanzia tarehe 16/03/2015 hadi tarehe 12/04/2015.   Aidha katika kata ya Utengule ya Mji mdogo wa Makambako Uboreshaji utafanyika kuanzia tarehe 9-15/03/2015. Uandikishaji huo utahusisha Halmashauri zifuatazo:-

Mkoa

Wilaya

Kata

Idadi ya Vituo

Tarehe Ya Uandikishaji

NJOMBE

...

 

10 years ago

Michuzi

Morogoro yaanza maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura

Na Andrew Chimisela
Mkoa wa Morogoro umeanza maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu.
Maandalizi hayo yameanza jana kwa semina ya siku mbili inayotolewa kwa waratibu wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika ngazi ya Mkoa na Wilaya za Mkoa wa Morogoro.Semina hiyo inalenga kutoa Elimu itakayowawezesha kutekeleza jukumu hilo katika...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani