Tume ya ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara
Na Mwandishi Wetu
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya pili ya ziara yake katika Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Katibu wa Tume hiyo Wakili Fredrick Manyanda (pichani), Tume hiyo itatembelea mikoa hiyo kuanzia keshokutwa Alhamisi, Oktoba 23, mwaka huu hadi tarehe Novemba...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Tume ‘Operesheni Tokomeza’ kwenda Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara keshokutwa 23 Oktoba

10 years ago
Michuzi04 Jun
11 years ago
Michuzi10 Sep
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Dewji Blog10 Sep
Tume ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya
Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda.
Na Mwandishi Wetu
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya kwanza ya ziara yake katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji hiyo.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Tume hiyo iliyotolewa leo, Jumatano (Septemba 10, 2014) na Katibu wa Tume Wakili Fredrick Manyanda, ziara hiyo itaanza tarehe 17 mwezi huu na kumalizika tarehe 6 mwezi ujao.
Kwa mujibu...
10 years ago
Michuzi
Tume Operesheni Tokomeza kukusanya maoni mikoa ya Kaskazini na Kati Januari 2015

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 24 Desemba, 2014 na Katibu wa Tume hiyo, Bw.Frederick Manyanda, Tume inatarajiwa kuendelea na zoezi la kukusanya maoni na taarifa kuanzia tarehe 5 Januari , 2015 mpaka tarehe 21 Januari,2015 katika...
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Tume “Operesheni Tokomeza” kukusanya maoni Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma, Januari, 2015
Katibu wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza, Bw.Frederick Manyanda.
Na. Mwandishi Wetu
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza itakusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili Nchini mikoa ya Mikoa ya Arusha, Manyara, Tabora, Singida na Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 24 Desemba, 2014 na Katibu wa Tume hiyo, Bw.Frederick Manyanda, Tume inatarajiwa kuendelea na zoezi la kukusanya maoni na taarifa...
10 years ago
Michuzi
mtuhumiwa sugu ujambazi katika mikoa ya mwanza,shinyanga na simiyu atiwa mbaroni


10 years ago
Vijimambo
MAKAMANDA WA MIKOA MITATU YA MWANZA, SIMIYU NA SHINYANGA WAVUNJA NGOME HATARI YA MTANDAO WA UJAMBAZI

Alisema mtiliwa shaka huyo alipohojiwa alisema kuwa jeraha hilo alipigwa risasi na jambazi mwenzake aitwaye Njile Samweli wakati wakifanya tukio la ujambazi katika kijiji cha Idukilo kata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...