Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mtuhumiwa sugu ujambazi katika mikoa ya mwanza,shinyanga na simiyu atiwa mbaroni

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza,SACP Valentino Mlowola akiwa na makamanda wenzake SACP Charles Mkumbo (Shinyanga) na  SACP Justus Kamugisha (Simiyu) wakati wakizungumza na waandishi wa habari kufuatia kutiwa mbaroni kwa mtuhumiwa wa ujambazi ambaye pia ni mfanyabiashara aitwaye Njile Samweli (46) marufu kwa “John” wa mjini Bariadi mkoani Simiyu, aliyekuwa akifanya matukio ya uhalifu katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Singida na Tabora.Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAMANDA WA MIKOA MITATU YA MWANZA, SIMIYU NA SHINYANGA WAVUNJA NGOME HATARI YA MTANDAO WA UJAMBAZI

Wakizungumza kwa pamoja Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Valentino Mlowola alisema Januari 5, mwaka huu majira ya saa 7 mchana walimkamata Mabula Lyagwa (36) akiwa na jeraha la risasi kwenye bega lake la kulia baada ya kupokea taarifa kutoka kwa raia wema.
Alisema mtiliwa shaka huyo alipohojiwa alisema kuwa jeraha hilo alipigwa risasi na jambazi mwenzake aitwaye Njile Samweli wakati wakifanya tukio la ujambazi katika kijiji cha Idukilo kata ya Mwadui Luhumbo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tume ya ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara

Manyanda (1)

Na Mwandishi Wetu

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya pili ya ziara yake katika Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Katibu wa Tume hiyo Wakili Fredrick Manyanda (pichani), Tume hiyo itatembelea mikoa hiyo kuanzia keshokutwa Alhamisi, Oktoba 23, mwaka huu hadi tarehe Novemba...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa wa ubakaji atiwa mbaroni

JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhumiwa kuhusika na matukio ya ubakaji wa vikongwe mkoani hapa. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI YATUA NANGA KATIKA MIKOA YA SIMIYU NA MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Chifu Kishosha Mabiti (wa tatu kutoka kulia) akimwonesha Mwenyekiti wa Jopo la Majaji kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji Prof. Samwel Wangwe (wa pili kutoka kushoto) ramani ya kijiolojia ya mkoa huo mara timu hiyo ilipomtembelea ofisini kwake. Mkuu wa wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza Mhe. Mariam Lugaila (mbele kwa mbali) akizungumza na jopo la majaji na sekretarieti kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya...

 

9 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa ujambazi afa katika mapambano na polisi

MTU anayedaiwa kuwa jambazi amekufa baada ya kutokea mapambano baina ya kundi alilokuwa nalo na polisi mkoani Morogoro. Mapambano hayo yanadaiwa kutokea katika kijiji cha Nakufuru, Tarafa ya Lupiro, wilayani Ulanga, mkoani Morogoro. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema tukio hilo ni la Agosti 24.

 

10 years ago

Michuzi

Tume ‘Operesheni Tokomeza’ kwenda Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara keshokutwa 23 Oktoba

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya pili ya ziara yake katika Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mwanza na Mara ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa Operesheni hiyo.Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Katibu wa Tume hiyo Wakili Fredrick Manyanda (pichani), Tume hiyo itatembelea mikoa hiyo kuanzia keshokutwa Alhamisi, Oktoba 23, mwaka huu hadi tarehe Novemba 18 mwaka huu.Katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mikoa ya Shinyanga na Mwanza yaendelea na ubabe mbio za baiskeli

image002

Mshindi wa mbio za Acacia Tufanikiwe Pamoja Lake Zone Cycle Challenge, Masunga Duba aliyeinua mikono akishangilia mara baada ya kumaliza mbio hizo akiwa mbele ya wenzake. Mshindi huyo anatoka mkoa wa Shinyanga.

image001

Mmoja wa washiriki wa mbio hizo akinywa maji wakati wa mashindano hayo.

image006

Washiriki wa mbio za Acacia tufanikiwe pamoja lake zone cycle challenge wakimenyana vikali wakati wa mashindano hayo.

image003

Makamu wa rais wa Kampuni ya Uchimbaji wa dhahabu ya Acacia, Deo Mwanyika (wa kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani