Mtuhumiwa wa ubakaji atiwa mbaroni
JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhumiwa kuhusika na matukio ya ubakaji wa vikongwe mkoani hapa. Akizungumza na waandishi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzimtuhumiwa sugu ujambazi katika mikoa ya mwanza,shinyanga na simiyu atiwa mbaroni
11 years ago
GPLMAIMARTHA ATIWA MBARONI
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Mkosamali atiwa mbaroni Kigoma
10 years ago
Mwananchi14 Mar
Aliyejifanya katibu wa JK atiwa mbaroni
9 years ago
Habarileo02 Nov
Jangili mwingine hatari atiwa mbaroni
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya ujangili zinaendelea kuzaa matunda baada ya Kikosi cha Kupambana na Ujangili kumkamata mtuhumiwa mkuu wa ujangili, Boniface Mathew Mariango maarufu Shetani.
10 years ago
Habarileo20 May
Mkufunzi ‘Red Brigade’ atiwa mbaroni
POLISI mkoani Morogoro inamshikilia Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Boniface Jacob (32) , mkazi wa Dar es Salaam kwa kudaiwa kukiuka Sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ya Vyama vya Siasa nchini inayozuia uundaji wa vikundi vya ulinzi wa vyama.
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Anayedaiwa kuwatapeli wastaafu atiwa mbaroni
11 years ago
MichuziNEWS ALERT: Kibonde wa Clouds FM atiwa mbaroni leo
Kibonde anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima ajali, Kibonde alipoona hivyo akarudi nyuma na kuendesha gari lake kuondoka eneo la tukio bila...
11 years ago
GPLKIBONDE WA CLOUDS FM ASABABISHA AJALI, ATIWA MBARONI LEO