Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyejifanya katibu wa JK atiwa mbaroni

>Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemtia nguvuni mkazi mmoja wa jijini hapa kwa tuhuma za kutumia wadhifa wa Katibu wa Rais Jakaya Kikwete kujipatia fedha kutoka taasisi na watu binafsi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Aliyejifanya Balozi Sefue mbaroni

Polisi mkoani Kilimanjaro, imemtia mbaroni mtuhumiwa wa makosa ya kimtandao, ambaye anadaiwa kutumia jina la Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kutapeli viongozi.

 

10 years ago

Habarileo

Aliyejifanya Katibu wa CCM Ilala jela miaka 9

MFANYABIASHARA, Leonard Mhilu (42) amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya kughushi na kujipatia Sh milioni 12.9 kwa udanganyifu, baada ya kujifanya ni Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala.

 

11 years ago

GPL

MAIMARTHA ATIWA MBARONI

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mtangazaji maarufu wa Runinga Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiwekwa nyuma ya nondo kwa madai ya kumtapeli dada mmoja aliyetambulika kwa jina la Zai, mkazi wa Zanzibar. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, mtangazaji huyo alilipwa pesa ya kianzio cha shughuli ya u-MC visiwani humo mwezi mmoja uliopita lakini akashindwa kwenda bila sababu za msingi.
“Kifupi Maimartha alifanya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa wa ubakaji atiwa mbaroni

JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhumiwa kuhusika na matukio ya ubakaji wa vikongwe mkoani hapa. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkosamali atiwa mbaroni Kigoma

Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua madodoso ya kuandikisha wakazi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

 

9 years ago

Habarileo

Jangili mwingine hatari atiwa mbaroni

JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya ujangili zinaendelea kuzaa matunda baada ya Kikosi cha Kupambana na Ujangili kumkamata mtuhumiwa mkuu wa ujangili, Boniface Mathew Mariango maarufu Shetani.

 

9 years ago

Mwananchi

Anayedaiwa kuwatapeli wastaafu atiwa mbaroni

Polisi mkoani hapa wamemkamata mtu mmoja kwa tuhuma ya kuwatapeli fedha wanachama wanaotarajia kustaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF.

 

10 years ago

Habarileo

Mkufunzi ‘Red Brigade’ atiwa mbaroni

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe.POLISI mkoani Morogoro inamshikilia Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Boniface Jacob (32) , mkazi wa Dar es Salaam kwa kudaiwa kukiuka Sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ya Vyama vya Siasa nchini inayozuia uundaji wa vikundi vya ulinzi wa vyama.

 

5 years ago

CCM Blog

ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MPENZI WAKE

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia FESTO MADUHU (28 -30) Mbeba Mizigo @ Kuli na Mkazi wa Mtaa wa Benki Kabwe Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake na kisha yeye mwenyewe kujaribu kujiua kwa kisu.

Ni kwamba mnamo tarehe 22/03/2020 majira ya saa 09:00 Asubuhi huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “NEGERO” iliyopo Mtaa wa Ilolo, Kata ya Ruanda, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya katika chumba namba 111 @ Victoria, Mwanamke mmoja aitwaye JESCA MICHAEL @ KUNGULU [28] Mhudumu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani