MAIMARTHA ATIWA MBARONI
![](http://api.ning.com:80/files/Ct9BE8xQpt6Nd**YA-B4eqKHS-ofD6Sz95iJDHj5JkDkTvNKG9QjjRPE8mBJeDh458e8m8YQhCohDS9UuW-TE493ieJOSHTk/mai.jpg?width=650)
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mtangazaji maarufu wa Runinga Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiwekwa nyuma ya nondo kwa madai ya kumtapeli dada mmoja aliyetambulika kwa jina la Zai, mkazi wa Zanzibar. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, mtangazaji huyo alilipwa pesa ya kianzio cha shughuli ya u-MC visiwani humo mwezi mmoja uliopita lakini akashindwa kwenda bila sababu za msingi. “Kifupi Maimartha alifanya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Mtuhumiwa wa ubakaji atiwa mbaroni
JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhumiwa kuhusika na matukio ya ubakaji wa vikongwe mkoani hapa. Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Mwananchi14 Mar
Aliyejifanya katibu wa JK atiwa mbaroni
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Mkosamali atiwa mbaroni Kigoma
10 years ago
Habarileo20 May
Mkufunzi ‘Red Brigade’ atiwa mbaroni
POLISI mkoani Morogoro inamshikilia Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Boniface Jacob (32) , mkazi wa Dar es Salaam kwa kudaiwa kukiuka Sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ya Vyama vya Siasa nchini inayozuia uundaji wa vikundi vya ulinzi wa vyama.
9 years ago
Habarileo02 Nov
Jangili mwingine hatari atiwa mbaroni
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya ujangili zinaendelea kuzaa matunda baada ya Kikosi cha Kupambana na Ujangili kumkamata mtuhumiwa mkuu wa ujangili, Boniface Mathew Mariango maarufu Shetani.
9 years ago
Mwananchi03 Sep
Anayedaiwa kuwatapeli wastaafu atiwa mbaroni
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VAXZeD0aSN4/U-XKGgwsSAI/AAAAAAAF-BI/sLgYaLaH01Y/s72-c/IMG-20140809-WA0004.jpg)
NEWS ALERT: Kibonde wa Clouds FM atiwa mbaroni leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-VAXZeD0aSN4/U-XKGgwsSAI/AAAAAAAF-BI/sLgYaLaH01Y/s1600/IMG-20140809-WA0004.jpg)
Kibonde anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima ajali, Kibonde alipoona hivyo akarudi nyuma na kuendesha gari lake kuondoka eneo la tukio bila...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vlKUFPodnGV1sPBx9x1oTg8D-y7eh6mqYaKaQ96PHuXPFy3vmOW9ReCYpYIPEuhwFSMyIW5m1o6fZ1dDqQuwuxGx1c5ysgvH/JamilMukulu.jpg)
KIONGOZI WA WAASI WA ADF ATIWA MBARONI NCHINI TANZANIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtqW0mUepe0BGFwufOGk1mmp1d4fxGmRcI24gfah2Drcty*8XSq-07v4Sbki8pw6NQ5y7pY0F4*VgDKHLwbNn4S4/KOPLOFEKI3.jpg?width=650)
MWANAJESHI FEKI ATIWA MBARONI TANGA AKITAKA KUMTAPELI DC