Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jangili mwingine hatari atiwa mbaroni

JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya ujangili zinaendelea kuzaa matunda baada ya Kikosi cha Kupambana na Ujangili kumkamata mtuhumiwa mkuu wa ujangili, Boniface Mathew Mariango maarufu Shetani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAIMARTHA ATIWA MBARONI

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mtangazaji maarufu wa Runinga Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiwekwa nyuma ya nondo kwa madai ya kumtapeli dada mmoja aliyetambulika kwa jina la Zai, mkazi wa Zanzibar. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, mtangazaji huyo alilipwa pesa ya kianzio cha shughuli ya u-MC visiwani humo mwezi mmoja uliopita lakini akashindwa kwenda bila sababu za msingi.
“Kifupi Maimartha alifanya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa wa ubakaji atiwa mbaroni

JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhumiwa kuhusika na matukio ya ubakaji wa vikongwe mkoani hapa. Akizungumza na waandishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyejifanya katibu wa JK atiwa mbaroni

>Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemtia nguvuni mkazi mmoja wa jijini hapa kwa tuhuma za kutumia wadhifa wa Katibu wa Rais Jakaya Kikwete kujipatia fedha kutoka taasisi na watu binafsi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkosamali atiwa mbaroni Kigoma

Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua madodoso ya kuandikisha wakazi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

Habarileo

Mkufunzi ‘Red Brigade’ atiwa mbaroni

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe.POLISI mkoani Morogoro inamshikilia Naibu Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Boniface Jacob (32) , mkazi wa Dar es Salaam kwa kudaiwa kukiuka Sheria ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ya Vyama vya Siasa nchini inayozuia uundaji wa vikundi vya ulinzi wa vyama.

 

9 years ago

Mwananchi

Anayedaiwa kuwatapeli wastaafu atiwa mbaroni

Polisi mkoani hapa wamemkamata mtu mmoja kwa tuhuma ya kuwatapeli fedha wanachama wanaotarajia kustaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF.

 

10 years ago

GPL

KIONGOZI WA WAASI WA ADF ATIWA MBARONI NCHINI TANZANIA

Kiongozi wa waasi wa ADF, Jamil Mukulu (menye shati jeupe). Waasi wa Allied Democratic Forces  (ADF). Raia wakikimbia mapigano dhidi ya ADF. JEESHI  la polisi nchini limefanikiwa kumtia mbaroni kiongozi wa kundi la waasi wa Allied Democratic Forces  (ADF) wa nchini Uganda,  Jamil Mukulu,  ambaye…

 

11 years ago

Michuzi

MSICHANA WA KAZI ATIWA MBARONI KWA KUTUPA KICHANGA

Na John Gagarini, Kibaha
MSICHANA Theresia Matai (19) ambaye ni mfanyakazi wa ndani mkazi wa Kwa Mathias wilayani Kibaha mkoani Pwani anashaikiliwa na Jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumtupa mtoto wake aliyejifungua.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 27 mwaka huu majira ya saa 3 usiku.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea eneo la Mwembe...

 

11 years ago

GPL

MWANAJESHI FEKI ATIWA MBARONI TANGA AKITAKA KUMTAPELI DC

'Koplo feki' akihojiwa wa Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano Semfuko. 'Koplo feki' wa JWTZ akiwa ofisini kwa Mkuu wa Wilaya.
'Koplo feki' akijiandaa kupanda…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani