Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyejifanya Katibu wa CCM Ilala jela miaka 9

MFANYABIASHARA, Leonard Mhilu (42) amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya kughushi na kujipatia Sh milioni 12.9 kwa udanganyifu, baada ya kujifanya ni Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aliyejifanya katibu wa JK atiwa mbaroni

>Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemtia nguvuni mkazi mmoja wa jijini hapa kwa tuhuma za kutumia wadhifa wa Katibu wa Rais Jakaya Kikwete kujipatia fedha kutoka taasisi na watu binafsi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katibu CCM jela kwa udanganyifu

KATIBU wa Itikadi Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kyerwa, Ferdinand Bishanga (38), amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia mali kwa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AKAMILISHA ZIARA YAKE WILAYA YA ILALA,AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO.

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kwenye mradi wa ujenzi wa tanki la maji katika eneo la Tabata Kimanga, akiwa katika ziara ya siku moja katika wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecky Sadik.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kina ameanza ziara ya siku nne mkoani Dar Es Salaam,akiwa ameanzia wilaya ya Ilala leo.lengo ya Ziara hiyo ikiwa ni Kuimarisha uhai wa chama,kukagua miradi...

 

9 years ago

StarTV

Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)

Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo  kutokana na  upelelezi  wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...

 

5 years ago

Michuzi

Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.

Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...

 

9 years ago

Habarileo

Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua

MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.

 

11 years ago

GPL

HOSNI MUBARAK JELA MIAKA 3, WANAE MIAKA 4

Hosni El Sayed Mubarak . Rais aliyeondolewa madarakani nchini Misri, Muhammad Hosni El Sayed Mubarak amehukumiwa jela miaka mitatu huku wanae wawili Alaa na Gamal wakifungwa miaka minne kila mmoja. Waendesha mashitaka wamesema kuwa Alaa na Gamal waliponda mamilioni ya dola ambazo ni pesa za umma zilizotengwa kukarabati ikulu ya Rais na badala yake wakafanyia ukarabati nyumba zao za kifahari. Watuhumiwa hao wametakiwa...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA WILAYA YA ILALA IMEMUHUKUMU KIFUNGO CHA MAISHA JELA MCHUNGAJI WA KANISA LA TANZANIA

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemuhukumu kifungo cha maisha jela Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Athanas Ngomai (30), baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wake mwenye umri wa miaka 15.

Pia, mahakama hiyo imetaka mchungaji huyo amlipe fidia ya Shilingi  milioni 2 mlalamikaji ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mbondole iliyoko Ukonga. 
Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa, Ngomai alianza kumbaka mtoto huyo akiwa na umri wa miaka kumi na moja, wakati huo akisoma darasa la...

 

11 years ago

GPL

TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA

Mgana Izumbe Msindai – Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa Mikoa akitoa tamko hilo kwenye makao makuu ya Chama Chama Mapinduzi Ofisi ndogo Lumumba jijini Dar es salaam leo,kulia ni Haji Juma Haji – Makamu Mwenyekiti Wa Wenyeviti Mikoa na kushoto ni Lucas Ole Mukusi – Katibu wa Wenyeviti Mikoa. ................................................................................................................ Sisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani