Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIBONDE WA CLOUDS FM ASABABISHA AJALI, ATIWA MBARONI LEO

Mtangazani Mahiri wa Redio Clouds FM Ephrahim Kibonde akidhibitiwa na Askari wa Usalama barabarani. Mtangazani Mahiri wa Redio 88.5 Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi, Ephrahim Kibonde akidhibitiwa na Askari wa Usalama barabarani wakati alipotakiwa kutii sheria bila shurti,mapema asubuhi hii jijini Dar es salaam. Kibonde anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Kibonde wa Clouds FM atiwa mbaroni leo

Mtangazani Mahiri wa Redio 88.5 Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi, Ephrahim Kibonde akipingana na Askari wa Usalama barabarani wakati alipotakiwa kutii sheria bila shurti,mapema asubuhi hii jijini Dar es salaam.
Kibonde anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima ajali, Kibonde alipoona hivyo akarudi nyuma na kuendesha gari lake kuondoka eneo la tukio bila...

 

10 years ago

Michuzi

AIRTEL SMARTFONIKA YAMFIKIA MTANGAZAJI EPHRAIM KIBONDE WA CLOUDS FM

 Ofisa Mauzo wa Airtel, Salma Juma akimuelekeza jambo Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Clouds, Ephraim Kibonde kabla ya kumsmartfonika simu ya kisasa mapema wiki hii katika duka la  wazi la Airtel lililopo Game Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Meneja Masoko wa Airtel, Aneth Muga. Meneja Masoko wa Airtel, Aneth Muga (kulia), akimsmartfonika simu Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Clouds, Ephraim Kibonde. Ofisa Mauzo wa Airtel, Rehema Hoza (katikati),...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL SMARTFONIKA YAMFIKIA MTANGAZAJI EPHRAIM KIBONDE WA CLOUDS TV‏

 Ofisa Mauzo wa Airtel, Salma Juma akimuelekeza jambo Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Clouds, Ephraim Kibonde kabla ya kumsmartfonika simu ya kisasa mapema wiki hii katika duka la  wazi la Airtel lililopo Game Mlimani City jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Meneja Masoko wa Airtel, Aneth Muga.  Meneja Masoko wa Airtel, Aneth Muga (kulia), akimsmartfonika simu Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Clouds,...

 

11 years ago

GPL

MAIMARTHA ATIWA MBARONI

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mtangazaji maarufu wa Runinga Bongo, Maimartha Jesse amejikuta akiwekwa nyuma ya nondo kwa madai ya kumtapeli dada mmoja aliyetambulika kwa jina la Zai, mkazi wa Zanzibar. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, mtangazaji huyo alilipwa pesa ya kianzio cha shughuli ya u-MC visiwani humo mwezi mmoja uliopita lakini akashindwa kwenda bila sababu za msingi.
“Kifupi Maimartha alifanya...

 

11 years ago

Mtanzania

Kibonde, Gadner watiwa mbaroni

Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde

Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde

NA ELIZABETH HOMBO

WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde na Gadner G. Habash, wametiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya askari wa usalama barabarani.

Kibonde ambaye amejizolea umaarufu kupitia kipindi cha ‘Jahazi’ kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm akiwa na mtangazaji mwenzake wa Radio Times, Gadner, walikutwa na mkasa huo jana...

 

11 years ago

GPL

UNDANI KIBONDE ALIVYOTIWA MBARONI

Stori: Shakoor Jongo WIKIENDI iliyopita haikuwa njema kwa mtangazaji Ephraim Kibonde baada ya kutupwa nyuma ya nondo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar kwa msala wa kudaiwa kugonga gari na kutoa lugha ya matusi, Ijumaa Wikienda lina full stori. Mtangazaji Ephraim Kibonde akidhibitiwa na Polisi wa usalama barabarani maeneo ya Mwenge. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini cha habari ambacho kimeshuhudia sakata hilo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkosamali atiwa mbaroni Kigoma

Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchukua madodoso ya kuandikisha wakazi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Aliyejifanya katibu wa JK atiwa mbaroni

>Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemtia nguvuni mkazi mmoja wa jijini hapa kwa tuhuma za kutumia wadhifa wa Katibu wa Rais Jakaya Kikwete kujipatia fedha kutoka taasisi na watu binafsi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa wa ubakaji atiwa mbaroni

JESHI la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Michael William maarufu (Michael dada), mkazi wa Kiluvya, wilayani Kisarawe anayetuhumiwa kuhusika na matukio ya ubakaji wa vikongwe mkoani hapa. Akizungumza na waandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani