Kibonde, Gadner watiwa mbaroni
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
NA ELIZABETH HOMBO
WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde na Gadner G. Habash, wametiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya askari wa usalama barabarani.
Kibonde ambaye amejizolea umaarufu kupitia kipindi cha ‘Jahazi’ kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm akiwa na mtangazaji mwenzake wa Radio Times, Gadner, walikutwa na mkasa huo jana...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Watangazaji Kibonde, Gadna watiwa mbaroni
10 years ago
GPLKESI YA KIBONDE, GADNER KUSIKILIZWA TENA NOVEMBA 5 NA 21, 2014
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXEdLzXVPnE7NkJDAjnSbVogEUW-B10rYYVAwIwOnyYmNufI9NVTrMcnbqmS3BL2RzSzU7HDXLaZPzPMZBHR7Fo/kibonde.jpg)
UNDANI KIBONDE ALIVYOTIWA MBARONI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VAXZeD0aSN4/U-XKGgwsSAI/AAAAAAAF-BI/sLgYaLaH01Y/s72-c/IMG-20140809-WA0004.jpg)
NEWS ALERT: Kibonde wa Clouds FM atiwa mbaroni leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-VAXZeD0aSN4/U-XKGgwsSAI/AAAAAAAF-BI/sLgYaLaH01Y/s1600/IMG-20140809-WA0004.jpg)
Kibonde anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima ajali, Kibonde alipoona hivyo akarudi nyuma na kuendesha gari lake kuondoka eneo la tukio bila...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8bD62HksPhZYbVCwuVMY2DFUsUtuXalfnMHuOVXOe2u67R7MvnInhVZFoVg3L4b29cjhyXuwux7q4UjonlDpskLqKlkKYuq/IMG20140809WA0004.jpg?width=650)
KIBONDE WA CLOUDS FM ASABABISHA AJALI, ATIWA MBARONI LEO
11 years ago
Tanzania Daima11 Jan
Waethiopia 76 watiwa mbaroni
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro kwa kusadiana na Jeshi la Polisi imewanasa wahamiaji haramu 76 raia wa Ethiopia walioingia nchini kinyume cha sheria wakiwa katika harakati za kutaka kusafirishwa...
10 years ago
Habarileo16 Mar
Waethiopia 63 watiwa mbaroni
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia raia 63 wa Ethiopia na maiti mmoja ambao walikuwa wakisafirishwa na dereva Mtanzania kutoka Moshi kwenda Mbeya kwa kupitia njia za panya.
10 years ago
Habarileo04 Nov
Vigogo TPDC watiwa mbaroni
VIGOGO wawili wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli (TPDC) jana walijikuta wakisota rumande kwa saa kadhaa baada ya kushikiliwa na Polisi, kwa kile kilichoelezwa ni kukiuka agizo la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyokuwa imeagiza ikabidhiwe mikataba 26 ya gesi iliyofikiwa kati ya Serikali na wawekezaji.
9 years ago
Habarileo19 Aug
Watuhumiwa 4 wa ujambazi watiwa mbaroni
POLISI mkoani Katavi inawashikilia watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokamatwa wakiwa na bunduki mbili aina ya SMG zilizokuwa na risasi 40 za moto.