UNDANI KIBONDE ALIVYOTIWA MBARONI
![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXEdLzXVPnE7NkJDAjnSbVogEUW-B10rYYVAwIwOnyYmNufI9NVTrMcnbqmS3BL2RzSzU7HDXLaZPzPMZBHR7Fo/kibonde.jpg)
Stori: Shakoor Jongo WIKIENDI iliyopita haikuwa njema kwa mtangazaji Ephraim Kibonde baada ya kutupwa nyuma ya nondo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar kwa msala wa kudaiwa kugonga gari na kutoa lugha ya matusi, Ijumaa Wikienda lina full stori. Mtangazaji Ephraim Kibonde akidhibitiwa na Polisi wa usalama barabarani maeneo ya Mwenge. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini cha habari ambacho kimeshuhudia sakata hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania10 Aug
Kibonde, Gadner watiwa mbaroni
![Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Efraim-Kibonde.jpg)
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
NA ELIZABETH HOMBO
WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde na Gadner G. Habash, wametiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya askari wa usalama barabarani.
Kibonde ambaye amejizolea umaarufu kupitia kipindi cha ‘Jahazi’ kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm akiwa na mtangazaji mwenzake wa Radio Times, Gadner, walikutwa na mkasa huo jana...
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Watangazaji Kibonde, Gadna watiwa mbaroni
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8bD62HksPhZYbVCwuVMY2DFUsUtuXalfnMHuOVXOe2u67R7MvnInhVZFoVg3L4b29cjhyXuwux7q4UjonlDpskLqKlkKYuq/IMG20140809WA0004.jpg?width=650)
KIBONDE WA CLOUDS FM ASABABISHA AJALI, ATIWA MBARONI LEO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VAXZeD0aSN4/U-XKGgwsSAI/AAAAAAAF-BI/sLgYaLaH01Y/s72-c/IMG-20140809-WA0004.jpg)
NEWS ALERT: Kibonde wa Clouds FM atiwa mbaroni leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-VAXZeD0aSN4/U-XKGgwsSAI/AAAAAAAF-BI/sLgYaLaH01Y/s1600/IMG-20140809-WA0004.jpg)
Kibonde anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima ajali, Kibonde alipoona hivyo akarudi nyuma na kuendesha gari lake kuondoka eneo la tukio bila...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxZDIsLsGIYQ5eevSDK6lpUeeGsb7e7cKinFoDfJ9CPIZI2tJFg6Qfhdgub0VP9jn*TBQDuwnP8QVcQKgkP1j4Lh/KIBONDE.jpg?width=650)
KIBONDE, GADNA KIZIMBANI
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Tanzania kibonde Afrika Mashariki
10 years ago
Uhuru NewspaperKibonde, Gardner wapandishwa kizimbani
NA JESSICA KILEO
WATANGAZAJI wawili, akiwemo Ephraim Kibonde wa Kituo cha Redio cha Clouds, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, kujibu mashitaka mawili, likiwemo la kumtukana ofisa wa polisi.
Kibonde (42) na Gardner Habash (41), walifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mfawidhi, Anicieta Wambura.
Wakili wa Serikali Salum Ahamed, alidai kuwa Agosti 9, mwaka huu, katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, wilayani Kinondoni, washitakiwa...
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Kibonde apandishwa kortini, adhaminiwa
![Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Efraim-Kibonde.jpg)
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
MANENO SELANYIKA NA CHRISANTA CHRISTIAN, DAR ES SALAAM
WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini Ephraim Kibonde (42) na Gadner Habashi (41), jana walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, wakikabiliwa na makosa mbalimbali likiwemo la kutotii amri halali ya polisi wa usalama barabarani.
Katika shtaka la kwanza, Wakili wa Serikali, Salum Mohamed alidai mbele ya Hakimu Aniceta Wambura kuwa washtakiwa wote...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/OcxvxG4wHxaY6A2EthokJ-fR1UhieJXAzAGqOWQeepAtxXtOKedSk0SE8u5bbx-*kK2mazj9ZOHP31pOtCuVP2VSvDXMDi7G/KOBONDENAGADNER2.jpg?width=650)
KIBONDE, GARDNER KIZIMBANI TENA