KIBONDE, GADNA KIZIMBANI
![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxZDIsLsGIYQ5eevSDK6lpUeeGsb7e7cKinFoDfJ9CPIZI2tJFg6Qfhdgub0VP9jn*TBQDuwnP8QVcQKgkP1j4Lh/KIBONDE.jpg?width=650)
MTANGAZAJI wa Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gadna Habash wa Times FM leo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kusababisha ajali na kutoa lugha ya matusi. Watangazaji hao wamesomewa mashitaka na Wakili wa Serikali, Salim Mohammed mbele ya Hakimu Aniseta Wambura. Kibonde na Gadna wanadaiwa kutenda makosa hayo Jumamosi ya Agosti 9, mwaka huu saa 12 asubuhi, katika eneo la...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Watangazaji Kibonde, Gadna watiwa mbaroni
10 years ago
Uhuru NewspaperKibonde, Gardner wapandishwa kizimbani
NA JESSICA KILEO
WATANGAZAJI wawili, akiwemo Ephraim Kibonde wa Kituo cha Redio cha Clouds, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, kujibu mashitaka mawili, likiwemo la kumtukana ofisa wa polisi.
Kibonde (42) na Gardner Habash (41), walifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mfawidhi, Anicieta Wambura.
Wakili wa Serikali Salum Ahamed, alidai kuwa Agosti 9, mwaka huu, katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, wilayani Kinondoni, washitakiwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/OcxvxG4wHxaY6A2EthokJ-fR1UhieJXAzAGqOWQeepAtxXtOKedSk0SE8u5bbx-*kK2mazj9ZOHP31pOtCuVP2VSvDXMDi7G/KOBONDENAGADNER2.jpg?width=650)
KIBONDE, GARDNER KIZIMBANI TENA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6qUJKZkskro/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cth1N0t_9dk/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies02 Mar
Gadna: Sikubali Ndoa Yangu na Jack Ivunjike!
Mume wa mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’, Gadna Dibibi amefunguka kuwa kamwe hawezi kukubali ndoa yake ivunjike kirahisi, atapambana hadi dakika ya mwisho.Kauli hiyo ya Gadna ameitoa ikiwa ni siku chache tangu vyombo vya habari viripoti kuwa wawili hao waliooana mwaka 2013, wamemwagana na kila mtu anaishi kivyake.
“Sijampa talaka Jack hivyo bado ataendelea kuwa mke wangu halali, nitahakikisha hilo linabaki kuwa hivyo. Kama kupishana kauli, tulipishana na ni vitu vya kawaida lakini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ*sDEWMHuykbZBk2lZNwAyndl0FlHncga0rS1upkh6roq7Frklh-aAvqyYdxaWly*H3FoeZZ-jmdDyHlhzknYSp/Jack.jpg)
NDOA YA JACQUELINE PENTZEL NA GADNA DIBIBI IMEVUNJIKA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXEdLzXVPnE7NkJDAjnSbVogEUW-B10rYYVAwIwOnyYmNufI9NVTrMcnbqmS3BL2RzSzU7HDXLaZPzPMZBHR7Fo/kibonde.jpg)
UNDANI KIBONDE ALIVYOTIWA MBARONI
11 years ago
Mtanzania10 Aug
Kibonde, Gadner watiwa mbaroni
![Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Efraim-Kibonde.jpg)
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
NA ELIZABETH HOMBO
WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde na Gadner G. Habash, wametiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya askari wa usalama barabarani.
Kibonde ambaye amejizolea umaarufu kupitia kipindi cha ‘Jahazi’ kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm akiwa na mtangazaji mwenzake wa Radio Times, Gadner, walikutwa na mkasa huo jana...