NDOA YA JACQUELINE PENTZEL NA GADNA DIBIBI IMEVUNJIKA!
![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ*sDEWMHuykbZBk2lZNwAyndl0FlHncga0rS1upkh6roq7Frklh-aAvqyYdxaWly*H3FoeZZ-jmdDyHlhzknYSp/Jack.jpg)
Na Mwandishi Wetu/Ijumaa NDOA iliyodumu kwa miaka miwili na nusu kati ya mwigizaji wa filamu Jacqueline Pentzel na Gadna Dibibi imevunjika, Ijumaa lina mkanda kamili. Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jacqueline Pentzel. Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao waliachana baada ya kutuhumiana kutoka nje ya ndoa yao, jambo ambalo baada ya kuvumiliana kwa muda mrefu, hatimaye wameamua kubwaga manyanga. Inadaiwa kwamba kwa zaidi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Mar
Gadna: Sikubali Ndoa Yangu na Jack Ivunjike!
Mume wa mwigizaji Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’, Gadna Dibibi amefunguka kuwa kamwe hawezi kukubali ndoa yake ivunjike kirahisi, atapambana hadi dakika ya mwisho.Kauli hiyo ya Gadna ameitoa ikiwa ni siku chache tangu vyombo vya habari viripoti kuwa wawili hao waliooana mwaka 2013, wamemwagana na kila mtu anaishi kivyake.
“Sijampa talaka Jack hivyo bado ataendelea kuwa mke wangu halali, nitahakikisha hilo linabaki kuwa hivyo. Kama kupishana kauli, tulipishana na ni vitu vya kawaida lakini...
9 years ago
Bongo506 Nov
Muigizaji wa Nollywood aeleza kwanini ndoa yake imevunjika na funzo kwetu sisi
![Ini-Edo1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Ini-Edo1-300x194.jpg)
Muigizaji wa Nollywood, Ini Edo ameamua kueleza runinga nchini humo sababu za kuvunjika kwa ndoa yake ya miaka mitano na Phillip Ehiagwina wa Marekani.
Muigizaji huyo asiyependa mambo yake yaongelewe sana kwenye mitandao na vyombo vya habari, aliweza kuelezea kwa uwazi mambo anayodhani yalisababisha ndoa yake ya miaka mitano kuvunjika.
Ndoa yake ambayo anasema kwa kiasi kikubwa iliathiriwa na umbali kwakuwa mumewe alikuwa Marekani yeye yupo Naijeria hivyo ukiondoa matatizo waliyokuwa nayo...
10 years ago
Dewji Blog05 Apr
Bongo5.com watoa picha maalum za ndoa ya Dk.Reginald Mengi na Jacqueline Ntuyabaliwe, Nchini Mauritius
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Ni kama ndoto lakini mwishowe inakuwa si ndoto bali ni tukio halisi baada ya awali kuzagaa kwa picha tofautio 9, za Harusi ya Mfanyabiashara na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Nchini, Dk. Reginald Mengi akiwa katika harusi na Jacqueline Ntuyabaliwe, huko fukwe za visiwa vya hadhi ya juu Nchini Mauritius.
Mtandao wa Bongo5.com umekuwa wa kwanza kurusha picha hizo (Exclusive) huku wakiweka ‘brand’ yao kwenye picha hizo ambapo walibandika picha 9 kutoka...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lYnNv0-ng5BULyf*nK-R9L9RxpuH*jsq-T45WbFDxpIyloKmZWPf-aKfRsozC6hzueHmnEIsEyP5IyF*Ni5nRyi1EAbVt8ja/jack.jpg)
JACK PENTZEL, MUMEWE KIMENUKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GkcexZAd663mXOpmRgYJKdT-fwmZCOevmNfs5ne8bpK6CYlb5xwSgEsXJGEYzhxopwBIevZ1LhxTm*RdGNBcoDaah*tQq5MU/jack.jpg?width=650)
JACK PENTZEL: MUME WANGU ANAPENDA UBONGE
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Serikali ya muungano Palestina imevunjika
11 years ago
Habarileo23 May
Mifupa ya mtoto aliyeishi kwenye boksi imevunjika
POLISI mkoani Morogoro, inaendelea kuchungua kilichotokea mpaka mtoto mkoani hapa (jina limehifadhiwa), akateswa na mzazi mlezi kwa kuwekwa katika boksi tangu akiwa na miezi tisa, mpaka alipotimiza miaka minne. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, amesema, baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid Mvungi ambaye ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro alitakiwa kwenda kutoa maelezo kituoni leolakini hakutokea.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxZDIsLsGIYQ5eevSDK6lpUeeGsb7e7cKinFoDfJ9CPIZI2tJFg6Qfhdgub0VP9jn*TBQDuwnP8QVcQKgkP1j4Lh/KIBONDE.jpg?width=650)
KIBONDE, GADNA KIZIMBANI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6qUJKZkskro/default.jpg)