Mifupa ya mtoto aliyeishi kwenye boksi imevunjika
POLISI mkoani Morogoro, inaendelea kuchungua kilichotokea mpaka mtoto mkoani hapa (jina limehifadhiwa), akateswa na mzazi mlezi kwa kuwekwa katika boksi tangu akiwa na miezi tisa, mpaka alipotimiza miaka minne. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, amesema, baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid Mvungi ambaye ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro alitakiwa kwenda kutoa maelezo kituoni leolakini hakutokea.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 May
Mtoto aliyeishi kwenye boksi, ahamishiwa Muhimbili
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0qIZblyocFj7oNBLqZEDCIffMnVukuFusB1t4QtJxsT0t4udwze1sz9Xh5Jc65ToaaXHl-jwaDVBXWTRfFmuinw/mtotoo.jpg)
MTOTO ALIYEISHI NDANI YA BOKSI MIAKA ...
11 years ago
Habarileo04 Jun
Mtoto aliyeteswa kwenye boksi azikwa
SAFARI ya mwisho ya mtoto Nasra Mvungi (4), iliyokuwa ya mateso hapa duniani, imefikia mwisho jana katika makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, bila kusindikizwa na baba yake mzazi, Rashid Mvungi. Nasra kwa zaidi ya miaka mitatu hapa duniani, inadaiwa alikuwa akiishi katika boksi lililokuwa kitanda, choo, sehemu ya kuchezea na meza yake ya kulia chakula.
11 years ago
Mwananchi22 May
Mtoto afichwa kwenye boksi miaka minne
10 years ago
Bongo511 Sep
Wanasayansi wagundua mifupa ya mnyama mkubwa zaidi ya dinosaur aliyeishi Rukwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MASKINI! MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI MIAKA 4 AFARIKI
11 years ago
Mwananchi23 May
Kaka wa mtoto aliyefungiwa kwenye boksi naye ‘apotea’
11 years ago
CloudsFM30 May
MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI KWA SASA ANAPUMULIA MASHINE MUHIMBILI
MTOTO Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka minne mkoani Morogoro, sasa anaopumulia mashine katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Nasra, alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alipohamishiwa Mei 26 mwaka huu kwa ajili ya uchunguzi zaidi akitokea katika Hospitali ya mkoa wa Morogoro.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Daktari bingwa wa Magonjwa ya Watoto, David Kombo, aliyekuwa zamu alisema Nasra, aliwekewa mashine maalum ili kusaidia...
11 years ago
CloudsFM29 May
YULE MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI MOROGORO HUYU HAPA AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, Nasra Mvungi ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa uchunguzi zaidi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Morogoro, Dk Godfrey Mtei alisema Nasra alipelekwa Muhimbili juzi usiku baada ya hali yake kutoridhisha.
Alisema afya ya Nasra ilibadilika ghafla juzi asubuhi na kushindwa kupumua vizuri, jambo lililowalazimu madaktari kumpeleka Muhimbili kwa gari maalumu la wagonjwa...