Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasayansi wagundua mifupa ya mnyama mkubwa zaidi ya dinosaur aliyeishi Rukwa

Wanasayansi wanaochunguza viumbe vilivyoishi zamani (Paleontologists), kutoka chuo kikuu cha Ohio nchini Marekani, wamegundua mnyama mkubwa zaidi kuliko dinosaur aitwaye Rukwatitan bisepultus, aliyekuwa na miguu ya mbele yenye urefu wa futi 6 1/2 na ambaye uzito wake ukadiriwa kuwa zaidi ya tembo kadhaa. Ugunduzi huo uliofafanuliwa kwenye jarida la Vertebrate Paleontology umesaidia kupatikana kwa uhakika […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mifupa ya mtoto aliyeishi kwenye boksi imevunjika

POLISI mkoani Morogoro, inaendelea kuchungua kilichotokea mpaka mtoto mkoani hapa (jina limehifadhiwa), akateswa na mzazi mlezi kwa kuwekwa katika boksi tangu akiwa na miezi tisa, mpaka alipotimiza miaka minne. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, amesema, baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid Mvungi ambaye ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro alitakiwa kwenda kutoa maelezo kituoni leolakini hakutokea.

 

11 years ago

Michuzi

Dar es Salaam mwenyeji wa mkutano mkubwa wa wanasayansi wiki ijayo

Mkurugenzi wa Taasisi ya Uthamini Raslimali (IRA) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Amos Majule (second right) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam alipokuwa anatangaza mkutano mkubwa wa wanasayansi utakaofanyika kuanzia tarehe 27 mwezi huu Dar es Salaam. Wengine pia wajumbe wa kamati ya maandalizi, Dk. Catherine Masao (kulia), Dk. Stephanie Duvail (pili kushoto) na Bw. Pellage Kauzeni (kushoto). Jiji la Dar es Salaam linatarajiwa kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanasayansi zaidi ya 2000 washiriki mkutano wa tabianchi, Paris Ufaransa

Royal CfCC15.jpgwPichani: Baadhi ya Wanasayansi wakifuatilia mawasilisho ya wanasayansi wenzao yaliyokuwa yakiwasilishwa katika mkutani huo ulioanza Julai 7 na kumalizika Julai 10, mwaka huu katika  ukumbi mkubwa wa makao makuu ya UNESCO, Paris, Ufaransa.

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[Paris, Ufaransa] Wanasayansi zaidi ya 2500, kutoka pembe zote duniani wamekutana katika  mkutano mkubwa wa wanayasansi juu ya siku za usoni na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ‘Our Common Future Under Climate Change’....

 

9 years ago

Bongo5

ALikiba: Mimi ni mkubwa zaidi ya tuzo na muziki wangu una thamani zaidi ya tuzo

king kiba3

Alikiba ameweka wazi jinsi anavyozichukulia tuzo kwenye kazi yake ya muziki, na kama zinamuongezea thamani yoyote yeye kama msanii.

king kiba3

Mwimbaji huyo wa ‘Mwana’ ambaye amekuwa haendi kwenye tuzo nyingi zikiwemo hata zile ambazo anaibuka kuwa mshindi, ametaja sababu za kwanini huwa haudhurii.

“Nimegundua kwamba mimi ni mwanamuziki ambaye si focus sana kwenye tuzo japokuwa ndio moja ya sifa” Alikiba ameiambia AYO TV. “lakini kiukweli muziki wangu una thamani kubwa na mimi ni mkubwa zaidi ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkubwa zaidi waanza India

Wapiga kura milioni 814 nchini India wameanza kuwachagua wawakilishi 543 katika kipindi cha mwezi mzima.

 

5 years ago

Michuzi

Waalimu wastaafu Mkoani Rukwa wadhulumiwa zaidi ya Shilingi milioni 96 fedha za SACCOS

Baadhi ya Fedha zilizopatikana kutokana na kazi ya TAKUKURU Mkoa wa Rukwa na Kurudishwa kwa wahanga.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Waalimu Nkasi Teachers SACCOS Gideon Ngorogoro kiasi cha Shilingi 39,756,250 kwaajili ya kuzirudisha kwa waalimu wastaafu wa chama hicho.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Umoja wa Waalimu cha Akiba na Mikopo (CHAUWAMI) SACCOS Justin Mwanasimeta Shilingi 56,700,000/=...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA RUKWA AONGOZA SIKU YA SHERIA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya kulia akihutubia katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini Mkoni Rukwa leo tarehe 04/02/2015 katika viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga. Kaulimbiu ya maaadhimisho hayo ikiwa "Fursa ya kupata haki: Wajibu wa Serikali, Mahakama na Wadau". Katika hotuba yake hiyo alisema ipo haja kubwa kwa Serikali kubadili sheria zake ili lugha ya mahakamani na hukumu ziandikwe kwa kiswahili. Kwa upande wa wananchi aliwaasa kujiepusha na tabia ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA RUKWA ENG. STELLA MANYANYA AONGOZA SIKU YA SHERIA NCHINI MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya kulia akihutubia katika maadhimisho ya siku ya sheria nchini Mkoni Rukwa tarehe 04/02/2015 katika viwanja vya Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga. Kaulimbiu ya maaadhimisho hayo ikiwa "Fursa ya kupata haki: Wajibu wa Serikali, Mahakama na Wadau". Katika hotuba yake hiyo alisema ipo haja kubwa kwa Serikali kubadili sheria zake ili lugha ya mahakamani na hukumu ziandikwe kwa kiswahili. Kwa upande wa wananchi aliwaasa kujiepusha na tabia ya kujichukulia...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ACHAGULIWA KUWA KIONGOZI MWENYE MCHANGO MKUBWA ZAIDI KATIKA MAENDELEO BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2013

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na maafisa na wageni mbalimbali katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea tuzo ya Africa’s Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo April 9, 2014. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani