Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar es Salaam mwenyeji wa mkutano mkubwa wa wanasayansi wiki ijayo

Mkurugenzi wa Taasisi ya Uthamini Raslimali (IRA) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Amos Majule (second right) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam alipokuwa anatangaza mkutano mkubwa wa wanasayansi utakaofanyika kuanzia tarehe 27 mwezi huu Dar es Salaam. Wengine pia wajumbe wa kamati ya maandalizi, Dk. Catherine Masao (kulia), Dk. Stephanie Duvail (pili kushoto) na Bw. Pellage Kauzeni (kushoto). Jiji la Dar es Salaam linatarajiwa kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WAFANYA MKUTANO MKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM KUJAILI MCHANGO WA DIPLOMASIA KATIKA KUFIKIA DIRA YA TAIFA 2025

Mkutano wa Mabalozi wa Tanzania ulioanza Mei 25-27, 2015 katika hoteli ya Ramada, Dar es Salaam. Lengo kuu la mkutano huo ni kujadili utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Wizara kufikia Dira ya Taifa 2025. Mkutano huu ni wa nne kufanyika tangu ule wa kwanza uolifanyika mwaka 1999 katika hoteli ya Whitesands, Dar es Salaam.Kauli mbiu ya mkutano ni Diplomasia ya Tanzania Kuelekea Dira ya Taifa 2025. Ujumbe huo umechaguliwa kwa kuzingatia mchango wa Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

9 years ago

Michuzi

PROPHET SHEPHERD BUSHIRI MINISTRIES: mkutano mkubwa wa Injili kunzia kesho hadi Jumapili kanisa la ECG karibu na chuo cha ardhi Dar es salaam

Hii ni kufuatia mkutano mkubwa wa Injili unaoendelea jijini Pretoria (Encounter Conference 2015) ulioandaliwa na Huduma ECG inayoongozwa na Major Prophet Shepherd Bushiri na kurushwa LIVE na Prophetic Channel. Wanaohudumu katika mkutano huu ni Major Prophet Eubert Angel, Major Prophet Shepherd Bushiri na Dr. Ramson Mumba na miongoni mwa washiriki WAKUU wa mkutano ni Pastor Sayo Mwanyongo wa kanisa la ECG Dar es Salaam. Baada ya mkutano huu kuisha Pastor Sayo Mwanyongo kwa kibali alichopewa...

 

11 years ago

Michuzi

kongamano la kimataifa la wanasayansi lafanyika jijini Dar es Salaam

Wananchi wanaoishi kando ya maeneo ya ardhioevu na sehemu ambazo mito inakutana na bahari wamehimizwa kuzingatia matumizi bora ya maeneo hayo ili yasiweze kuleta madhara ya mali, uhai wao na uharibifu wa viumbe hai vilivyopo katika sehemu hizo.  Naibu Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Mahmoud Mgimwa, alisema hayo wakati akifunga mkutano wa wanasayansi toka Afrika na nje ya bara hilo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo lililojulikana kama Afrideltas liliangalia na...

 

11 years ago

Michuzi

Wanasayansi Duniani kukutana Dar es salaam katika kongamano la 25 la Wajiolojia

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST ) na Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya makongamano ya Wajiolojia Afrika na wanasayansi vijana Duniani, Profesa Abdulkarim Mruma (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusu kongamano la 25 la Wajiolojia Afrika na mkutano wa tatu wa vijana wanasayansi kutoka nchi mbalimbali duniani. Makongamano hayo yanatarajiwa kufanyika tarehe 11- 16 Agosti, 2014 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha...

 

10 years ago

GPL

KINONDONI MWENYEJI WA SIKU YA UPANDAJI MITI MKOA WA DAR ES SALAAM KESHO

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko la wilaya hiyo kuhusu uzinduzi wa siku ya upandaji…

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkutano mkubwa wa albino wafanyika Dar

Viongozi wa vyama na mashirika ya watu wenye ulemavu wa ngozi kutoka nchi zaidi ya 30 za Afrika na Ulaya wanakutana kwa siku mbili Dar es Salaam, Tanzania.

 

11 years ago

Dewji Blog

Dar Es Salaam kuwa kivutio kikubwa cha wawekezaji na utalii miaka michache ijayo

2

Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari, jengo hili litatakuwa kivutio kwa Wawekezaji na Utalii.(23 Juni 2014).

3

Baadhi Malori na Vifaa vingine vya kutendea kazi vikiwa tayari kuahiria ujenzi huu unaanza mara moja baada ya zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi kukamilika.

1

Mama Maria Nyerere akiwasili kwenye sherehe ya uwekaji jiwe la...

 

10 years ago

Bongo5

Wanasayansi wagundua mifupa ya mnyama mkubwa zaidi ya dinosaur aliyeishi Rukwa

Wanasayansi wanaochunguza viumbe vilivyoishi zamani (Paleontologists), kutoka chuo kikuu cha Ohio nchini Marekani, wamegundua mnyama mkubwa zaidi kuliko dinosaur aitwaye Rukwatitan bisepultus, aliyekuwa na miguu ya mbele yenye urefu wa futi 6 1/2 na ambaye uzito wake ukadiriwa kuwa zaidi ya tembo kadhaa. Ugunduzi huo uliofafanuliwa kwenye jarida la Vertebrate Paleontology umesaidia kupatikana kwa uhakika […]

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUBWA WA INJILI WAFANYIKA VIWANJA VYA BIAFRA,KINONDONI JIJINI DAR

Mchungaji kiongozi wa kanisa la Kinondoni Reviral Church ambao ndio waandaaji wa mkutano wa Injili unaoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni, Dkt. Rogate Swai akihubiri neno la mungu katika mkutano huo. Waambaji wa kwaya wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church wakipamba jukwaa katika mkutano mkubwa wa injili unaoendelea kufanyika katika viwanja vya Biafra,Kinondini jijini Dar es salaam. Mamia ya watu wakifuatilia kwa karibu mkutano huo mkubwa na waaina yake, katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani