Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano mkubwa wa albino wafanyika Dar

Viongozi wa vyama na mashirika ya watu wenye ulemavu wa ngozi kutoka nchi zaidi ya 30 za Afrika na Ulaya wanakutana kwa siku mbili Dar es Salaam, Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUBWA WA INJILI WAFANYIKA VIWANJA VYA BIAFRA,KINONDONI JIJINI DAR

Mchungaji kiongozi wa kanisa la Kinondoni Reviral Church ambao ndio waandaaji wa mkutano wa Injili unaoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni, Dkt. Rogate Swai akihubiri neno la mungu katika mkutano huo. Waambaji wa kwaya wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church wakipamba jukwaa katika mkutano mkubwa wa injili unaoendelea kufanyika katika viwanja vya Biafra,Kinondini jijini Dar es salaam. Mamia ya watu wakifuatilia kwa karibu mkutano huo mkubwa na waaina yake, katika...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MWAKA WA JET WAFANYIKA DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa JET, John Chikomo akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya uendeshaji wa chama cha waandishi wa habari za mazingira kwenye mkutano huo.Baadhi ya viongozi wa chama cha waandishi wa habari za mazingira JET katika mkutano wa mwaka wa chama hicho ulioganyika jijini Dar Es Salaam, kutoka kushoto ni Mkurugenxi Mtendaji wa JET John Chikomo, Mwenyekiti wa JET Johnson Mbwambo, Katibu Mtendaji wa JET Chris Rweyemamu na Makamu Mwenyekiti wa JET Aisha Dachi.Baadhi ya waandishi wa...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MBADILIKO YA TABIA NCHI WAFANYIKA DAR

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandara akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaofanyika katika hoteli ya Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar Es salaam ukiwashirikisha watafiti na wanamazingira kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo ya mabadiliko ya tabianchi cha chuo kikuu cha Dar Es Salaam Profesa Pius Yanda akiwasilisha mada katika… ...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandara akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaofanyika katika hoteli ya Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar Es salaam ukiwashirikisha watafiti na wanamazingira kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo ya mabadiliko ya tabianchi cha chuo kikuu cha Dar Es Salaam Profesa Pius Yanda akiwasilisha mada katika mkutano huo. Profesa Mukandara akijadiliana na wataalam wanaoshiriki kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WAFANYIKA DAR ES SALAAM

5Kaimu Katibu Mkuu – Utumishi Bw.HAB Mkwizu (aliyesimama) akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma katika ukumbi wa hoteli ya J.B Delmonte mapema leo. Kulia kwake ni Katibu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Lilian Denis.3Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw.Aloyce Msigwa (aliyesimama) akichangia mada katika mkutano maalumu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA BRN WAFANYIKA LEO JIJINI DAR

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Bashir Mrindoko Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA NISHATI YA UMEME VIJIJINI WAFANYIKA JIJINI DAR

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto ) na Meneja Mradi wa Benki ya Dunia (WB) katika nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Oliver Braedt (kulia) wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa.Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava akifungua warsha iliyokutanisha wadau mbalimbali wa nishati ya umeme vijijini iliyofanyika jijini Dar es salaam kujadili mpango mkakati katika usambazaji wa umeme...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAFANYIKA JIJINI DAR

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bw. Celestine Onditi wa pili kulia ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano wa Wadau wa Ukusanyaji Maoni Sheria ya Uongezaji Thamani Madini akiwa katika picha ya pamoja na wadau hao. Wa kwanza kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Sheria ya Uongezaji Thamani Madini , Mhandisi Hamis Komba, ( wa tatu kushoto) ni Kamishna Msaidizi wa Uchumi na Biashara Mhandisi Salim Salim, Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kusini Mhandisi Benjamin Mchwampaka wa kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani