Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA BRN WAFANYIKA LEO JIJINI DAR

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Bashir Mrindoko Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua Mkutano wa Tathmini ya Utekelezaji wa BRN

1

Gavana  wa  Benki   Kuu  ya  Tanzania,  Prof.  Benno  Ndulu akichangia   hoja   wakati  wa mkutano  wa  kupitia  taarifa  ya  mwaka mmoja ya utekelezaji  wa  Mpango  wa  Matokeo  Makubwa  sasa (BRN) uliofanyika  leo  Jumatano   Julai  23,  2014  katika  ukumbi   wa Mwalimu  Nyerere  Jijini  Dar es  Salaam.  Kulia ni Katibu Mkuu  wa Wizara  ya Maji  na  Umwagiliaji  Mhandisi, Bashir Mrindoko.

2.

Katibu  Mkuu  Kiongozi  Balozi   Ombeni  Sefue  akichangia  hoja  wakati mkutano wa kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa mwaka wa ECOBANK wafanyika leo jijini Dar es salaam

  Wanahisa, Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK  wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka  wa benki hiyo uliofanyika katika  Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre uliofanyika jijini Dar es Salaam  19 June 2015. 

 Wanahisa, Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK  wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka  wa benki hiyo
Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK  wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka  wa benki hiyo Wanahisa na MenejimentI ya ECOBANK  wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka  wa...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAFANYIKA JIJINI DAR LEO

 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinti, akizindua huduma mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Feb 26.2014.   Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto), akimkaribisha mjumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimatifa, John Haule alipowasili kwenye ukumbi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Wanataaluma wa mambo ya Ardhi wafanyika leo jijini dar

Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo J. Kidata akitoa hotuba katika Mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Wanataalum ya Uthamini, Uwakala wa Majengo na Haki za Ardhi, Usimamizi wa Miliki na Maendeleo ya Ardhi Tanzania (TIVEA), Kulia kwake waliokaa ni Kamishna wa Ardhi, Dr. Moses.M.Kusiluka na Makamu Rais wa TIVEA – Hamad Abdallah.Pamoja na mambo mengine, Ndg. Kidata alikemea tabia ya wathamini wanaotuhumiwa kufanya tathmini za nyumba hewa, au kuongeza kiwango cha...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TPCC WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited(TPCC), Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPCC, Alfonso Rodrigue na (kushoto) ni Company Secretary, Brian Kangetta. Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC) Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya nishati na madini yatangaza utoaji ruzuku awamu ya pili, kwa wachimbaji wadogo, BRN kupima utekelezaji, tathmini

 Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava.Na Asteria Muhozya, Dar es SalaamMatokeo ya utekelezaji wa utoaji wa ruzuku kwa wachimbaji Madini wadogo nchini Awamu ya Pili yanatarajiwa kufanyiwa tathmini na ufuatiliaji kupitia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

Hayo yamebainishwa na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava wakati akiongea katika Kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa kupitia Televisheni ya Taifa TBC1 mapema leo,...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA TATHMINI YA BRN

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akijadiliana jambo la kiongozi wa Jopo la Kimataifa la Tathmini (IRP), Rais Mstaafu wa Botswana, Festus Mogae (wa pili kulia) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa jopo hilo kutathmini mwaka mmoja wa utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) Dar es Salaam jana. Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa (BRN), Omari Issa akichangia mada wakati wa mkutano wa tathmini ya jopo la kimataifa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandara akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaofanyika katika hoteli ya Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar Es salaam ukiwashirikisha watafiti na wanamazingira kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo ya mabadiliko ya tabianchi cha chuo kikuu cha Dar Es Salaam Profesa Pius Yanda akiwasilisha mada katika mkutano huo. Profesa Mukandara akijadiliana na wataalam wanaoshiriki kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani