Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAFANYIKA JIJINI DAR

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bw. Celestine Onditi wa pili kulia ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano wa Wadau wa Ukusanyaji Maoni Sheria ya Uongezaji Thamani Madini akiwa katika picha ya pamoja na wadau hao. Wa kwanza kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Sheria ya Uongezaji Thamani Madini , Mhandisi Hamis Komba, ( wa tatu kushoto) ni Kamishna Msaidizi wa Uchumi na Biashara Mhandisi Salim Salim, Kamishna Msaidizi wa Madini Kanda ya Kusini Mhandisi Benjamin Mchwampaka wa kwanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA NISHATI YA UMEME VIJIJINI WAFANYIKA JIJINI DAR

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto ) na Meneja Mradi wa Benki ya Dunia (WB) katika nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Oliver Braedt (kulia) wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa.Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava akifungua warsha iliyokutanisha wadau mbalimbali wa nishati ya umeme vijijini iliyofanyika jijini Dar es salaam kujadili mpango mkakati katika usambazaji wa umeme...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAFANYIKA JIJINI DAR LEO

 Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinti, akizindua huduma mpya ya PSPF Pamoja nawe na PSPF call centre, itolewayo na mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kufungua Mkutano mkuu wa tatu wa wadau wa mfuko huo Feb 26.2014.   Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto), akimkaribisha mjumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambaye pia ni katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimatifa, John Haule alipowasili kwenye ukumbi wa...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR

 Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa. Mjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.

Na Teresia Mhagama Kamishna wa madini nchini, Mhandisi Paul Masanja amefungua rasmi mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake 15 wa kitanzania waliopata ufadhili wa masomo hayo ambayo ni matunda ya harambee iliyoanzishwa na Kamati ya Maandalizi ya Maonesho ya Kimataifa ya Vito ya Arusha mwaka 2012. Mafunzo hayo ya ukataji madini yatakayowawezesha wanafunzi husika kukata madini na kuyachonga katika maumbile ya kuvutia yatakuwa yakitolewa kwa muda wa miezi Sita katika Kituo cha...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi wafanyika jijini Dar es Salaam

ForumCC imewakutanisha wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar katika Mkutano Mkuu wa Mwaka ili kutoa ripoti ya mafanikio na kujadili changamoto zilizopo katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Counciljijini Dar es SalaaMjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa...

 

10 years ago

Michuzi

Kituo cha Jimolojia kuwezesha uongezaji thamani madini nchini

Mratibu wa Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) Mussa Shanyangi (wa pili kulia), akiwaonesha Mkurugenzi wa Manunuzi Wizara ya Nishati na Madini Amon Makachayo (wa pili kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Habari na Teknolojia Francis Fungameza namna mashine ya kukata mawe inavyofanya kazi.Baadhi ya Wanafunzi katika kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) waki polish mawe wakati wa mafunzo. Wanafunzi hao wako katika mafunzo ya ukataji na unga’rishaji madini katika kituo hicho.Meneja Mradi...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandara akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaofanyika katika hoteli ya Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar Es salaam ukiwashirikisha watafiti na wanamazingira kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkurugenzi wa kituo cha mafunzo ya mabadiliko ya tabianchi cha chuo kikuu cha Dar Es Salaam Profesa Pius Yanda akiwasilisha mada katika mkutano huo. Profesa Mukandara akijadiliana na wataalam wanaoshiriki kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani