Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROPHET SHEPHERD BUSHIRI MINISTRIES: mkutano mkubwa wa Injili kunzia kesho hadi Jumapili kanisa la ECG karibu na chuo cha ardhi Dar es salaam

Hii ni kufuatia mkutano mkubwa wa Injili unaoendelea jijini Pretoria (Encounter Conference 2015) ulioandaliwa na Huduma ECG inayoongozwa na Major Prophet Shepherd Bushiri na kurushwa LIVE na Prophetic Channel. Wanaohudumu katika mkutano huu ni Major Prophet Eubert Angel, Major Prophet Shepherd Bushiri na Dr. Ramson Mumba na miongoni mwa washiriki WAKUU wa mkutano ni Pastor Sayo Mwanyongo wa kanisa la ECG Dar es Salaam. Baada ya mkutano huu kuisha Pastor Sayo Mwanyongo kwa kibali alichopewa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Press

MOTO MKUBWA WAZUKA MCHANA WA LEO KARIBU NA CHUO CHA TUMAINI (TUDARCO) Cocacola Road

img_20161110_124829

Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza mali na majengo kwenye kampuni inayosemekana niya matairi.

img_20161110_124604

Kati ya mali zinazosemekana kuteketea ni Matairi, pikipiki na baadhi ya vifaa

img_20161110_124622

Baadhi ya Mashuhuda waliokua Eneo La tukio

img_20161110_124607

 

img_20161110_124707

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUBWA WA INJILI WAFANYIKA VIWANJA VYA BIAFRA,KINONDONI JIJINI DAR

Mchungaji kiongozi wa kanisa la Kinondoni Reviral Church ambao ndio waandaaji wa mkutano wa Injili unaoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni, Dkt. Rogate Swai akihubiri neno la mungu katika mkutano huo. Waambaji wa kwaya wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church wakipamba jukwaa katika mkutano mkubwa wa injili unaoendelea kufanyika katika viwanja vya Biafra,Kinondini jijini Dar es salaam. Mamia ya watu wakifuatilia kwa karibu mkutano huo mkubwa na waaina yake, katika...

 

11 years ago

Michuzi

Dar es Salaam mwenyeji wa mkutano mkubwa wa wanasayansi wiki ijayo

Mkurugenzi wa Taasisi ya Uthamini Raslimali (IRA) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Amos Majule (second right) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam alipokuwa anatangaza mkutano mkubwa wa wanasayansi utakaofanyika kuanzia tarehe 27 mwezi huu Dar es Salaam. Wengine pia wajumbe wa kamati ya maandalizi, Dk. Catherine Masao (kulia), Dk. Stephanie Duvail (pili kushoto) na Bw. Pellage Kauzeni (kushoto). Jiji la Dar es Salaam linatarajiwa kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA INJILI DMV


Mkutano mkubwa ulioandaliwa na kanisa la Cathedral of Praise unaendelea ukiwa katika hatua za mwishomwisho. Mkutano huo uliofanyika katika hotel ya Hampton iliyoko Baltimore ave College Park umefanyika kwa mafanikio ukishirikisha wahubiri kutoka states mbalimbali za hapa Marekani.

 

5 years ago

Michuzi

MASAUNI ATEMBELEA CHUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHOGO NA KUFANYA MKUTANO NA WAKIMBIZI RAIA WANAOLALAMIKIA KUPORWA ARDHI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Chogo ,Kamishna Msaidizi,Kennedy Komba(kulia) wakati wa ukaguzi wa mabweni yanayotumiwa na wanafunzi wa chuo hicho kilichopo wilayani Handeni mkoani Tanga,leo.Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia),Mkuu wa Wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe (watatu kulia),Mbunge wa Handeni Vijijini,Mboni ...

 

11 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM


Mwili wa Marehemu Sydney Damson ambaye aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Dar es Salaam(sasa kikijulikana Taasisi ya Uhasibu Tanzania) ukiwasili nyumbani kwake Tandika Magorofani, Wilayani Temeke tayari kwa taratibu za kuaga kabla ya kwenda mazikoni.Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Mchungaji Mwakalinga(kushoto) akiendesha Ibada Maalum ya kumuombea Marehemu Sydney Damson kabla ya zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu kuanza nyumbani kwake Tandika Magorofani leo Julai 27, 2014 Temeke Jijini...

 

11 years ago

Michuzi

uchaguzi wa viongozi wa tawi jipya la CCM chuo cha kimataifa cha Diplomasia Dar es salaam

   Baadhi ya wanachama wa Chama Cha mapinduzi (CCM) tawi la  chuo cha kimataifa cha Diplomasia wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa uchaguzi wa tawi hilo jana jumamosi 24/5/2014.Kutoka kushoto ni Mohamed Mkumbwa,George Fautine,Dk.Telesphory Kyaruzi,Faiza Salim,Kanali Rankho,Mtela Mwampamba,Ali Makwiro na Kennedy Ndosi.Uchaguzi huo ulisimamiwa na Mtela Mwampamba,Kanali Rankho,Dotto Nyirenda,katibu wa CCM mkoa wa vyuo vikuu Bw.Zenda Daniel na katibu wa CCM itikadi na uenezi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuzinduliwa kesho jijini Dar

 Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM),Balozi Juma Mwapachu (kulia) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) juu ya Uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko maalum wa Chuo Kikuu cha Dodoma,unatarajia kuzinduliwa rasmi kesho Novemba 8,2014 kwenye hoteli ya Golden Tulip,Jijini Dar es Salaam,ambapo Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi huo anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu tatu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),Mh. Benjamin W. Mkapa.Dhumuni la Mfuko huo ni kuweza kukisaidia Chuo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani